Hajamboo, na mie sijambo handsome. Tunausogeza mwaka taratibu tuLeo kutwa yangu imeenda vizuri, hujambo mrembo, shemeji yangu hajambo???
Tu nimepata ujumbe wako basi moyo ukawa wabaridiiii, ahh mwambie shemeji akae mkao wa survival for the fittestHajamboo, na mie sijambo handsome. Tunausogeza mwaka taratibu tu
Pabaya hufikia kwakutotambuana, asante jamii forums hunisaidia kusindikiza siku zionekane rahisi angalauMe, basi sawa ni vizuri kutambuana jinsia mkuu, usije ukarukia pabaya.
Angalau i have friends in Jf that i can talk to when my life is in bad shape, time where i need a person to hear me out, UPPS AND DOWN are happening in real lifePabaya hufikia kwakutotambuana, asante jamii forums hunisaidia kusindikiza siku zionekane rahisi angalau
Jana, let the past be gone na fanya leo kuwa nzuri zaidi and dont let your heart regrets for your mistakesAngalau mwaka huu nimeanza vibaya kidogo sio kama mwaka jana
Hapa karibu useme neno, acha kusinzia mawazo yako ni sehemu muhimu katika JFTaratibu tu nasinzia hapa
It is awesome if we keep practicing foreign language ENGLISHLife becomes crazy when you fail to handle it
Wanaiba acha wanaoiba waibe, hukumu yao ipo kwa Mungu Baba, fanya mazuri and you will be rewardedKiapo changu hakina maana mtu unaapa uzalendo wengine wanaiba
wengi tunaipenda sana jfJf ni msaada mkubwa sana kwa jamii, katika kusaidiana kwa mambo mbalimbali kiushauri nk , na hukutanisha wadau wengi
Mwaminja mapunga.. Basi ulini_quote mimi by mistakes, unaweza ukarekebisha bbcNi kweli si wewe bali ni mwamajinja mapunga!
Aisehhh mwaka huu njaa lazimaMvua imegoma aisehhh
Jf ni noomaaa staciawengi tunaipenda sana jf
Stacia namtakia heri ya mwaka mpyaJf ni noomaaa stacia
Oyeeee happy new year Ukhuty,Jf oyeeee