mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Vema umenisaidia ubarikiweSentensi zake nyingi sana, hujaamua tu kulitumia vema
Vema umenisaidia ubarikiweSentensi zake nyingi sana, hujaamua tu kulitumia vema
Ubarikiwe pia, nitakumiss kwa muda nitakao kua offlineVema umenisaidia ubarikiwe
Offline ukienda ukirudi utanikutaUbarikiwe pia, nitakumiss kwa muda nitakao kua offline
Utanikuta kaunta ya juuOffline ukienda ukirudi utanikuta
Mawingu hayaoneshi dalili ya mvuaJuu kuna mawingu
Mvua imeadimika sana!!!Mawingu hayaoneshi dalili ya mvua
Sana ni neno gumu kuanzisha sentensiMvua imeadimika sana!!!
Sentensi haina ugumu wowote kuanzishwa inategemea uwezo wa kufikiriSana ni neno gumu kuanzisha sentensi
Kufikiri si rahisi sana hasa unapokuwa na njaa kaliSentensi haina ugumu wowote kuanzishwa inategemea uwezo wa kufikiri
Sana sana nimewamiss friends how are things buddies??Watoto wengi tulikuwa tunaenda kuuangalia kwenye nyumba za watu kipindi icho TV chache sana
Jirani yangu anapenda viserengetiKenya ni nchi jirani
Nimewamiss pia wadauSana nimewamiss
Facebook muachie mamaafacebookNimewamiss na mm pia, heri ya mwaka mama Facebook
Jf ni msaada mkubwa sana kwa jamii, katika kusaidiana kwa mambo mbalimbali kiushauri nk , na hukutanisha wadau wengiGani zaidi ya hii ya jf?
Itakuwepo nini twin? Ni nini ninakikosa twin?Jf pekee itakuwa uwongo lazma fb itakuwepo
Mshindi wa hii thread atatangazwa mwakaniItakuepo mda wa Kutangaza mshindi??
Afya ya chidbeenz ipo hatarini sana, tumuombe sana.Mimi ni mzima wa afya
Siipendi pia, Facebook imekosa mvutoFacebook nilikua naipenda Sasa hivi siipendi