Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,803
- 51,457
Leo ni siku ya nne tangu mwaka mpya kuanzaJf Niko juzi Jana na leo
Leo ni siku ya nne tangu mwaka mpya kuanzaJf Niko juzi Jana na leo
Lamawazo ni neno gani hili la Kiswahili?Leo kweli nakuona , bundle lako sio lamawazo
Sentensi ipi ni kali aliyowahi kuisema mheshimiwa JPMLamawazo sjui naitungiaje sentensi
Vema mkafanya kazi mkapata mkate wa kila siku kuliko kuilaumu serikaliSentensi zake nyingi sana, hujaamua tu kulitumia vema
Ubarikiwe sanaVema umenisaidia ubarikiwe
Offline ukienda, wasalimie ndugu huko, hasa mwajuma shemeji yanguUbarikiwe pia, nitakumiss kwa muda nitakao kua offline
Utanikuta Tanga kule kwenu nakusubiriOffline ukienda ukirudi utanikuta
Mvua imegoma aisehhhMawingu hayaoneshi dalili ya mvua
Japo hazikuwa chache sana kama wakati ule wa Euro 1996 na World Cup 1998Watoto wengi tulikuwa tunaenda kuuangalia kwenye nyumba za watu kipindi icho TV chache sana
Sana sana hali ya ukame imeshika kasiMvua imeadimika sana!!!
Na bado, itaadimika sana tuMvua imeadimika sana!!!
Kasi ya utumbuaji ya rais inawashangaza wengiSana sana hali ya ukame imeshika kasi
Wengi wanajiuliza mwaka huu itakuwaje mwenyez Mungu atunusuruKasi ya utumbuaji ya rais inawashangaza wengi
Sentensi si kiswahili maridhawa, bali ni "tungo" kama sijakoseaSentensi haina ugumu wowote kuanzishwa inategemea uwezo wa kufikiri
Kali kuliko zote ni pale mpo na watoto sebuleni mara taulo likadondokaKufikiri si rahisi sana hasa unapokuwa na njaa kali
Atunusuru kwa kweli maana hali ni teteWengi wanajiuliza mwaka huu itakuwaje mwenyez Mungu atunusuru
1998 ulikuwa wapi?Japo hazikuwa chache sana kama wakati ule wa Euro 1996 na World Cup 1998