Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

British airways sijaiona siku hizi kukatiza hapa juu ya usawa wa nyumba yangu
Yangu ni mengi ya kuelezea WIZARA YA ELIMU .. Naona kuna moja lile, mbili na tatu ya kuweka safi ili tupate vijana ambao ni visionary and competent watakao leta chachu ya maendeleo katika taifa letu
 
Taifa letu linakuwa kimaendeleo lakini hali za uchumi zimekuwa mbaya mno maisha yanakaba hadi unatamani uikimbie nchi
 
Yangu ni mengi ya kuelezea WIZARA YA ELIMU .. Naona kuna moja lile, mbili na tatu ya kuweka safi ili tupate vijana ambao ni visionary and competent watakao leta chachu ya maendeleo katika taifa letu
Vijana visionary and competent wapo lakini tatizo tuna utamaduni wa kuzingatia zaidi vyeti kuliko maarifa ya mtu, kuna vijana wengi tu wana mawazo mazuri sana lakini hawana elimu za vyuo vikuu na mitaji ya kutekelezea mawazo yao
 
Yao one of the old tribe found in ruvuma regional southern of Tanzania
 
Vijana visionary and competent wapo lakini tatizo tuna utamaduni wa kuzingatia zaidi vyeti kuliko maarifa ya mtu, kuna vijana wengi tu wana mawazo mazuri sana lakini hawana elimu za vyuo vikuu na mitaji ya kutekelezea mawazo yao
Yao mawazo yana mchango kweli but something is missing out kwa hao vijana, dunia ya sasa the global view bado inahitaji atlest uwende shule ili to face the challenges, and only way to prove umeenda shule ni vyeti baba, hilo halikwepeki
 
Halikwepeki kwasababu tumekubali kuwa mentally slaves, kwanini tumeshindwa kuwafanya vijana wengi waende vocational training zenye viwango vikubwa ili nchi iwe na technians wengi
 
Back
Top Bottom