Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Maisha tu ndo yanatufanya tupambane, habari za wewe apo mkuu, kwema
Kwema mkuu nipo sana tu, lakini kitabu kigumu mno najiuliza mengi tu ya class sina majibu ingekuwa inaruhusiwa kutoroka chuo, ningekua nishatoroka lakini hapa nikifanya hivyo sawa sawa nakikimbia kivuli changu mwenyewe unakumbuka work done is equal to zero mkuu!? Kwenye physics o level!?
 
Back
Top Bottom