Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,684
Wengi tunasema tutazoea tu hii hali huko mbeleni...Kasi ya utumbuaji ya rais inawashangaza wengi
Wengi tunasema tutazoea tu hii hali huko mbeleni...Kasi ya utumbuaji ya rais inawashangaza wengi
"wapi" usishangae nilikuwa kidato cha 31998 ulikuwa wapi?
Atunusuru kwa kweli, maana mwanzo wa mwaka tu tumeona hali isiyotarajiwa na watu wengi kuona biashara ya batter trade ya karne zile imerudi tena nyakati hizi maana tunaona mkulima na mfugaji wakibadilishana nafaka na mifugo yani debe moja la mahindi na mbuzi je uko mbeleni itakuwaje?? ni kama giza limetanda vileWengi wanajiuliza mwaka huu itakuwaje mwenyez Mungu atunusuru
Sijakosea wewe ni mwalimu wa Kiswahili,Sentensi si kiswahili maridhawa, bali ni "tungo" kama sijakosea
Kiswahili nakipenda hivyobasi siishi kujifunzaSijakosea wewe ni mwalimu wa Kiswahili,
3*3=9"wapi" usishangae nilikuwa kidato cha 3
Kujifunza lugha yetu pendwa Kiswahili weka jitihada zaidiKiswahili nakipenda hivyobasi siishi kujifunza
Jitihada iwe kubwa sana maana ni lugha yenye misamiati mingi isiyofahamika na wengiKujifunza lugha yetu pendwa Kiswahili weka jitihada zaidi
Wengi ni wahanga koke16Jitihada iwe kubwa sana maana ni lugha yenye misamiati mingi isiyofahamika na wengi
Koke16 ndio nini ndugu yangu?Wengi ni wahanga koke16
Yangu macho yanaona sana mkuu, sijuwi kama unakula sana karoti ikusaidie kuona vizuri mkuu, koke16 ni id ya jamaa anajiita hivyo haina maana nyingine sheheKoke16 ndio nini ndugu yangu?
...yuko wapi...Shehe Kipozeo yuko siku hizi?
Hizi tuhuma sio zangu shehe bbcShehe Kipozeo yuko siku hizi?
Wapi umemteka nyara kipoozeo changu, nasikia ndugu yangu unapenda sana kugonga wake za watu, sasa nikijua unaparamia wangu jiandae kwenda jela...yuko wapi...