Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

BBC wamempongeza rais wetu kwa kuchapa kazi kweli kweli na wamesema wanaandaka ticket ya mtannzania mmoja kwenda uingereza nae ni toxic 9
Toxic9 hii ni fursa men, i cant wait for that mkuu, ila nisije ambiwa serikali haita gharamia hata cent kwenye safari hiyo ilihali wameniteua niwasindikize, eti tunabana matumizi[emoji16] [emoji16] [emoji16] ahhhh, raisi2020 tunata serikali iachie hata kidogoo
 
Magufuri ni Rais wa Nchi, hata kama humpendi si busara kumwita mjinga ni afadhali kutokumtaja!
Ume_wrong quote halafu, hebu angalia vizuri uliekuwa una mquote/jibu ni jamaa gani,
 
Toxic9 hii ni fursa men, i cant wait for that mkuu, ila nisije ambiwa serikali haita gharamia hata cent kwenye safari hiyo ilihali wameniteua niwasindikize, eti tunabana matumizi[emoji16] [emoji16] [emoji16] ahhhh, raisi2020 tunata serikali iachie hata kidogoo
Kidogo kidogo tumeanza roman numbers ni ngumu
 
Back
Top Bottom