Kilele9
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 1,452
- 1,091
TARATIBU ZA KUWA WAKALA
Ninaomba kufahamishwa ni zipi taratibu za kufuatwa ili kuwa wakala wa MPesa
Je kuna vigezo na masharti gani ya kuzingatiwa/kufuatwa ili kuwa wakala wa MPesa?
TARATIBU ZA KUWA WAKALA
Ninaomba kufahamishwa ni zipi taratibu za kufuatwa ili kuwa wakala wa MPesa
Vodacom! Kuna mfanyakaz wenu anaitwa Mary Grory ni Supervisor! Kiukwel huyo mdada hastaili kuwepo ktk position ya kuhudumia! Mfano unaweza kuwa na tatizo la system, Yan kuja kulitatua inaweza kupita hata miezi 4! Sasa kwa kufanya hivyo wateja wanaokuja ktk hizi voda shops au voda desk wakikuta huduma zinazohitaji system hakuna kwa siku 4au zaidi hawawezi kurudi na kuwapoteza! Jaribuni kumweleza huyo muhusika ili abadilike!
Hivi voda ni kwann mnadanganya sana unakuta mnatuma sms umeshinda sms za bure tuma hiv upate dk zak gafla umejiunga na soka letu ndo nn sasa
Salama jamani.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
haha wanakera sana mi nimehamia HALOTELI na TTCL voda sijui wamekuaje gharama zao ziko juu kupita maelezoGharama zenu za bundle
Natafuta maneno ya kistaarabu ya kuwaeleza nakosa ila nafikiri naeleweka maana nahisi nitatukana
Ndugu mteja,