vodacom tanzania

  1. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Changamoto Vodacare whatsapp

    Kitengo cha vodacare whatsapp namba 0754100100 hakitoi msaada wa kuchat na mtoa huduma. Ukichat nayo inakuacha kwenye taarifa ya "Tafadhali subiri wakati nikikuunganisha kwa mtoa huduma, kwa msaada zaidi" Hapo utasubiri hadi ujikatie tamaa. Kama haina msaada ni heri itolewe kwenye orodha ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yapata faida ya TZS Bilioni 47.3 katika robo ya kwanza ya Mwaka, Ukuaji wa Data na M-Pesa ukiendelea kuimarisha matokeo

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. 24 Julai 2026: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc jana imetangaza faida ya baada ya kodi ya shilingi bilioni 47.3, kwa robo ya mwaka iliyoishia Juni 30, 2026. Ongezeko hilo ni zaidi ya asilimia 200 ikilinganishwa na shilingi bilioni...
  3. Rais Wa Malofa

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubora wa huduma za Voice Calls za Vodacom Tanzania – Tarime

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara. Kwa muda sasa, wateja wengi wamekuwa wakikumbana na matatizo kama simu kukatika katikati ya mazungumzo, kushindwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yang’ara kwenye uzinduzi wa Maonesho ya 50 ya Sabasaba 2026

    ●Yatwaa tuzo mbili ikiwemo mshindi wa tatu wa jumla Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Chapo wakipokea maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire, kuhusu huduma mbalimbali...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yazindua maduka jongefu yaliyoboreshwa

    • Kupanua Upatikanaji wa Huduma za Kidijitali Nchini Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto) akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Maduka Jongefu mapya sita yaliyoboreshwa na hivyo kufikisha maduka jongefu 12 yatakayotumika kupeleka huduma za mawasiliano...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Foundation Yaandaa Kambi ya Matibabu Bure Morogoro

    Na Mwandishi Wetu Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Foundation Yajenga Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Msingi Mkata Handeni

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nitawashtaki Vodacom Tanzania kwa kosa la kunitamanisha

    Kila siku wananitumia SMS kwamba wana huduma inaitwa MGODI na wanaweza kunikopesha kiasi cha shilingi 530,000/= halafu wananipa menu ya huduma hiyo na kunitaka nikope haraka. Leo nimejaribu wananiambia "ndugu mteja huduma hii itakujia hivi karibuni" sasa nataka kuwafungulia mashtaka ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  13. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Vodacom router bure kabisa kwa shuleni, hospitali na zahanati za serikali

  14. excel

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
  15. Vodacom Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yafanya Uboreshaji mkubwa wa Mtandao ili kuhakikisha mustakabali imara na wa muunganiko zaidi

    Ndugu Mteja, Tunapitia kipindi cha maboresho muhimu kwenye mifumo yetu ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha zaidi huduma. Katika siku chache zilizopita, huenda umekumbana na changamoto katika matumizi ya huduma zetu. Maboresho haya makubwa ya miundombinu yetu ya TEHAMA yanalenga kukuletea huduma...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania visits Makulu Primary School in Dodoma

    Vodacom Tanzania Plc and Stanbic Bank Tanzania officials paid a courtesy visit to Dodoma Regional Commissioner Ms. Rosemary Senyamule (centre) ahead of the arrival of the Twende Butiama Cycling Tour in Dodoma on Tuesday last week. As part of the initiative, Vodacom and Stanbic donated 100 desks...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaifuta kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited. Uamuzi huo wa kuifuata kesi hiyo utolewa leo Jumanne, Septemba 10, 2024 na Naibu Msajili wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kutekwa mwanahabari Kabendera, Mahakama kumaliza ubishi wa uhalali wake leo

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne, Septemba 10, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa na kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwanahabari, Erick Kabendera...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yatangaza washindi wa droo ya sita ya kampeni yani balaa

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa! Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Tawi la Dodoma mwishoni mwa wiki katika hafla iliyofanyika duka la Vodacom jijini...
Back
Top Bottom