Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Mkimalizana na vodacom karibuni dollrubii_decors

SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARIBUNI SANA. FREE DELIVERY DAR

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Salaam Nanga,
kuongezeka kiasi cha kukopa inategemea na mwenendo wako wa matumizi ya simu na kufanya marejesho, na si rahisi ikawa ghafla. Endelea kuwa nasi kwa huduma nzuri zaidi.
Kuna haja sasa muangalie upya riba zenu za M-Pesa-SONGESHA

Kiukweli riba hizi si rafiki! Na ni kandamizi!!! Kausha damu!.....

Watu wengi wameacha kabisa kutumia laini zao za simu kutumia na kutoa pesa, .... wanazitumia kwa mawasiliano tu

Hamjiulizi kwanini!?....

Haiwezekani Kila baada ya masaa 24 riba inaongezeka maradufu!!!

Hii ni kausha damu aisee!!.. na serikali inawaangalia tu!!!
 
Rostam asihusishwe .
 
Nilikuwa na deni la Songesha 263,038 ambalo nimekopa dakika zisizozidi 200 nikawa nimeingizwa 2,700,000 lakini zimekatwa 626,000 kama malipo ya songesha na makato! nahitaji ufafanuzi
 
Mods acheni kufungia nyuzi za watu kienyeji. Nilipost picha ya professor Janabi anakula baga mkaifuta. Au kuna mtu ni ndugu yake kati yenu? Nikipunga nawe Punga!
 
Lakini hapa si mahali pake pa kulalamikia. ungeweka madai yako kule jukwaa la malalamiko
 
Hela ndefu sana. Nenda ofisini kwao ukawalalamikie wezi hao

Back
Top Bottom