Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Walaji tunaumizwa sana! Nani anasimamia haki zetu!? Wanakuvizia unatuma ama kutoa pesa, kwamba salio halitoshi inakuja meseji songesha terms & conditions ,kwa dharula unakubali.

Nimetoa 170,000; ikapungua 37Tzs garama makato yao! Wakanisongesha overdraft 2Tzs processing fee,2Tzs service fee! 4/37*100= 10.8% cost ya overdraft, na terms next transaction wanakata chao kwanza! Huu ni wizi!!!!
 
Vodacom Tanzania mkuje mueleze na ile voda mtonyo ni kitu gani?.
 
Walaji tunaumizwa sana! Nani anasimamia haki zetu!? Wanakuvizia unatuma ama kutoa pesa, kwamba salio halitoshi inakuja meseji songesha terms & conditions ,kwa dharula unakubali.

Nimetoa 170,000; ikapungua 37Tzs garama makato yao! Wakanisongesha overdraft 2Tzs processing fee,2Tzs service fee! 4/37*100= 10.8% cost ya overdraft, na terms next transaction wanakata chao kwanza! Huu ni wizi!!!!
elezea zaidi sijakupata please...
 
Huwezi songesha mpaka uwe umejiunga. Sasa unajiungaje kama terms and conditions zao hukubariani nazo?
Walaji tunaumizwa sana! Nani anasimamia haki zetu!? Wanakuvizia unatuma ama kutoa pesa, kwamba salio halitoshi inakuja meseji songesha terms & conditions ,kwa dharula unakubali.

Nimetoa 170,000; ikapungua 37Tzs garama makato yao! Wakanisongesha overdraft 2Tzs processing fee,2Tzs service fee! 4/37*100= 10.8% cost ya overdraft, na terms next transaction wanakata chao kwanza! Huu ni wizi!!!!
 
Napenda kuwaomba boda baadhi ya mawakala wakuu naona kama kazi imewashinda kabisa kauli sio nzuri mpk nimeamua kuweka till tu ndani ...NIMECHUA YA TIGO PESA MAANA SECOND ILIHARIBIKA NIKAWAAMBIA WAKANCELL KWENYE SYSTEAM ILI KAMISHENI INAPOTUMWA IINGIE MOJA KWA MOJA KWENYE TILL YA KAZI , MAANA KILA MWISHO WA MWEZI MPK NIOMBE ITREMSHWE WAKATI MWINGINE NAOMBWA RUSHWA KUTEREMSHIWA KAMISHENI ....YAANI MSIPOLIANGALIA HILI .....MPESA KANDA YA ZIWA TIGO ATAWAPIKU
 
Haya Mambo ya songesha nimenunua umeme eti naambiwa cna hela ya kutosha cjui jisongeshe mmenikata shng 102 Yan ad kununua umeme mnakata hela Tena bila kutoa taarifa kweny vyombo vya habari mmenikwaza sna mteja wenu ctotumia Tena mtandao wenu mpaka ntakapopewa maelezo hyo hela mmekata ya nn
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
 
MTANDAO WENU UMEKUA WA KIHUNI SANA KURUHUSU WATU KUDUKULIWA MAWASILIANO YAO HOVYO HOVYO hapa sizungumzii wanasiasa bali hata watu wa kawaida
 
Nyinyi ni wezi tu yaani GB 1 inaishia dakika ya 35 kuangalia mpira tu online wakati mitandao mingine unamaliza mechi na MB zinabaki.
 
Tembelea lami ukiwa na mtandao pendwa wa halotel, hasa kwa dar internet safi kabsa na bando za unene wa kutosha ,vodacom watumie matajiri mimi siyawezi
 
Hivi mnadhani kila mtu anahitaji usumbufu wenu huu wa sms za promosheni mnazotutumia bila ridhaa yetu? Bado navumilia kidogo tu, msipobadilika nitajitoa rasmi kwenye huduma zenu kwa sababu hii tu.

Mnatuma sms nyingi mno kwa siku zisizo na tija kwangu. After all, mimi si mteja wa promosheni zenu. Mimi kwenu naridhika na huduma ya kupiga, kutuma meseji, internet na M-Pesa tu. Hayo yenu mengine siyataki. Naomba muheshimu hisia yangu kabla hamjanipoteza!!

Nawasilisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda kwanii hamsikilizi mdada mzuri Kama huyu..?
Kwanini mnamtia stress mrembo huyu..?

Nikiwa Kama moja ya mguswaji wa jambo hili napinga na nakemea vikali jambo hili la voda kutusumbulia dada zetu wazuri na watamu!

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom