PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,098
- 801
Salute to you all hustlers .....
Direct to the topic,
Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k.
Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi Kwa sasa sababu wapo kwenye Economic Boom.
I have been talking always with young men na huwa namaanisha Kwa sababu hii ndio product ya generation ya Kesho. Hawa ndio Baba na Mama wa Nchi yetu, urithi wetu na fahari ya Tanzania.
VIjana wengi wameingia kwenye siasa lakini hakuna direct output wengi wao ni wapiga Zumari hakuna wanachopata ila Wazee wanaendelea Kula Kwa jasho la vijana (40s- huyu ni Mzee).
Kipindi cha Utawala wa Magufuli Kijana wa Zuberi Kabwe a.k.a role model wa vijana na binti Karume Abeid Mzee wetu a k.a Shangazi wote wawili Walikuwa katika peak ya upinzani walikosoa kila kilichofanywa na Serikali. Kila report ya CAG Kijana wa Zuberi aliifanyia analysis Kwa mgongo wa Chama chake cha ACT- WAZALENDO. Nakumbuka Zitto alipenda kutumia maneno kama haya;
@) FIVE YEARS OF INCOMPETENCE akiwa na maana Serikali imeshindwa ku- deliver kwenye uchumi.
b) Serikali ya hasara no plan & strategies to Harmonizing economy, brutally plundering & looting investment, resources & private capital/ investment.
c) Serikali katili mifumo ya Nchi ime- collapse Nchi inaanguka ( akitokea anabisha nitaleta his analysis, video & etc..)
Fatuma my lovely Dada alikuwa mfuasi mzuri wa mabadiliko yaliyokuwa yakinadaiwa na CHADEMA hata issue ya kususia uchaguzi wa Serikali za mtaa wa 2019.
Swali;
i) Kwani sasa hakuna report ya CAG?
ii) Zitto aliungana na CHADEMA on the so- called Come together because we have common enemy. So today's no enemy anymore? CCM aliyekuwa anaiponda imekufa?
iii) Fatuma willingly rejected the participation of the 2019 election, what happened today ?
iv) Hon. Mbowe had been fighting against brutality, embarrassment & torturing. Vipi Kwa sasa maana Kwa katiba Yao yeye is one of the decision markers wa Chama? , mbona haongei chochote au Lissu sio kiongozi wake wa Chama ambaye yupo Ukonga maana hii case hadi mawe yameongea, mrithi wa kiti chake?
v) Vipi Salum Mwalimu na akina John Mrema ?
vi) Vipi my lovely Dada nampenda Sana Esther Matiko kasahau kuwa kuna vijana wengi 2020 walimwaga damu kumtetea ? Swahiba wake wa damu Bulaya dada yangu pia kasahau kweli kuwa kuna watu hadi Leo hawajulikani walipo kumtetea yeye 2020?
Ushauri wangu Kwa vijana play the game with all senses mtaisha, mtakuwa desperate & despondency. Binafsi katika mabadiliko ya katiba Moja ya kipengele ningependa kiwe inclusive ni katiba itamke wazi "mtanzania mwenye sifa za kugombea URAIS wa Nchi ukiachana na sifa zingine ni lazima awe na miaka kuanzia 30s-
na Imani huyu anajua mahitaji ya vijana wenzake hawa watu wazima hawajui uchungu wa kukosa ajira, hatari ya kukosa Mikopo HESLB n.k.
Najua ndani ya Nchi yetu kuna vijana kutokea noble class hata ukiwapa nafasi they can do the same their fathers & mothers did hawajui Njaa ifike wakati to select & appoint leaders from our local ground. Otherwise people with integrity & credibility even 70s can be elected to lead us like Mzee Warioba n.k.
Ni Kazi yenu vijana kuwa serious for creation or distraction/ Kazi ya kupiga Zumari iendelee.
I Trust our almighty God will give us a way.