wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania KIMENUKA: WANAHARAKATI WATAKA CHADEMA IFUTWE KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA

  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Na hawa ndo wanaharakati wenu, wanatetea hadi majambazi! Au ni wenzao? Kuna jambo hapa

  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ACHENI KABSA KUWASIKILIZA WANAHARAKATI UCHWARA, WANAWAPOTOSHA SANA 📌

    MARA nyingi sana imekuwa ni kawaida yetu kuwaonya na kuwapa maangalizo juu ya miendendo na porojo za wanaharakati lakini kuna muda mnakuwa vichwa vigumu sana kuelewa na kusikiliza .. Inawezekana ni kwa sababu ya ujinga tu au kutokuelewa LAKINI tumejitahidi sana kuwaambia kama mnawaamini maneno...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania British airways kuanzisha safari mpya za Tanzania, wanaharakati uchwara na Bavicha walituambia Tanzania imetengwa

    Wanaukumbi. HAYA mambo huwa hayaji kwa bahati mbaya au kwa ndoto!.. Au hayaji kwa kutumia AI 😄 WAKATI wanaharakati na wapinzani wanaikosoa hii nchi kuwa haifai kwa lolote na chochote na kuibagaza sana LAKINI mambo yanazidi kutokea na kufanyika Tanzania. 👉 AFCON 2027 👉Miss World 2027 👉BA...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Dear Mange na wanaharakati wengine wa mtandaoni

    Kwanza kabisa, heshima kwa kazi mnayofanya. Kiukweli mmeziba gap kubwa sana kwenye mapambano dhidi ya dhulma, ufisadi, uonevu, uchawa, watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa. Zamani sehemu kubwa ya kazi hii ilikuwa inafanywa na wanasiasa. Wakati nafasi ya kufanya siasa ilipobanwa, wanaharakati wa...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati kutofautiana mitazamo ni jambo la kawaida. Siyo kukosa mwelekeo

    Harakati za ukombozi zina mambo mengi sana. Na kwa vile huhusisha watu wengi wenye mawazo na mitazamo tofauti, kukwaruzana kwa hapa na pale ni jambo la kawaida sana na ni jambo linalotarajika. Katika kufuatilia historia za harakati mbalimbali hapa duniani, sijawahi kuona popote pale ambako...
  9. K

    JamiiForums Tanzania MADA: Uchambuzi: Sakata la Godbless Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiendelea kuwasikiliza Wanaharakati uchwara itakula kwao

    Mjadala unaoendelea kuhusu Godbless Lema kutuma salamu za pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kufuatia msiba wa mumewe unaonyesha tofauti kubwa kati ya msimamo wa chama na misukumo ya baadhi ya wanaharakati. Lema amekumbana na matusi na lawama nzito kutoka kwa baadhi yao, wakiona kitendo hicho...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchangisha wanachama na wafuasi wa vyama kwenye Bakuli ni ama mtalazimika kufuata mashart ya mafisadi au wanaharakati kisa wametoa pesa

    Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu CHADEMA, Wanaharakati wana nguvu sana maana ndo wanachanga pesa kubwa inayoonekana Ila wanasahau kuwa...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utanzania wa watanzania hauondoshwi na kelele za wanaharakati uchwara

    WATANZANIA wana sifa moja kubwa sana ambayo mpaka leo mataifa mengine duniani wanashindwa kuelewa ni watu wa aina gani. Watanzania ni watu ambao wanaunganishwa kwenye jamii zao kwa mambo ya kijamii ikiwemo misiba na sherehe na mambo mengine ya namna hiyo. WAKATI nchi zingine watu wanaalikwa...
  13. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Je, Huu Ni Mwisho wa Ushirika wa CHADEMA na Wanaharakati?

    Walianza na FAM& Co. Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza. Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga. Kamwaga ya Direct Contact ya Heche ma Boss Kubwa. Mtananage ukiendelea siku 2 Mtajua Mengi ya sirini. Chadema ikibali...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Mzozo Taasisi vs Wanaharakati

    Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake

    Hii si mara ya kwanza, Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake. Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na taarifa kama hizi, kwani huenda wanafanya maksudi ili kuwabaini wavujisha taarifa wenzao. Mfano...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Nairobi wataka Besigye na Lissu kutoka gerezani na kuachiliwa huru

    Wanaharakati nchini Kenya wameongeza shinikizo la kutaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani wa Uganda na Tanzania, Dkt. Kizza Besigye na Tundu Lissu, wanaoshikiliwa katika nchi zao kwa tuhuma zinazohusiana na uhaini. Katika maandamano yaliyofanyika Nairobi Alhamisi, Septemba 3, 2026...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya waandamana wakitaka Besigye, Lissu na wapinzani wengine waachiliwe

    Nairobi, Kenya. Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wameandamana katika mitaa ya Nairobi wakitaka Serikali ya Uganda kumuachilia mara moja kiongozi mkongwe wa upinzani, Dk Kizza Besigye, huku wakitaka pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuwaachilia viongozi wa upinzani...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania WANAHARAKATI, MBONA HAMSEMI KINACHOENDELEA KWA “MWALIMU” WENU HH?

    Na: Chris Bwaya Chilumba 31.08 2026 Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini. Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa. Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati, kabla ya kudai-ulizeni kwanza! Deogratius John Ndejembi ni kijana wa Dodoma

    WANAHARAKATI, KABLA YA KUDAI-ULIZENI KWANZA! DEOGRATIUS JOHN NDEJEMBI NI KIJANA WA DODOMA. Wanaharakati, kama hamjui jambo fulani, ni vyema kuuliza. Kuna watu wako tayari kuwasaidia kupata taarifa sahihi badala ya kukurupuka na kutoa hitimisho lisilo na msingi. Jambo dogo kama kutokujua asili...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tukisema msiue watu kwenye uchaguzi tunaonekana wanaharakati, hatuoni shida kuitwa wanaharakati

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amesema chama hicho kimeamua kuendelea kudai mabadiliko ya kweli badala ya kufanya siasa kwa ajili ya kuonekana pekee. Heche amesema wanapozungumzia masuala yanayowagusa wananchi na kudai mabadiliko, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita...
Back
Top Bottom