Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Sasa moto unawawakia uarabuni

View attachment 2647533
Jpo walichofanya ni kutokana na hasira na trauma, wamelinda hadhi ya mtu mweusi. Wote walioko ughaibuni wangekuwa na spirit kama hii, huu upumbavu wa kudhalilisha watu weusi ungekoma. I love this thing God knows. Wakiwabaka nanyi waueni. Jicho kwa jicho ndiyo sheria ya kiarabu.
 
Uhuru upi wananonyimwa? usiingize dini hapo tafadhali.

Hao ni malaya kama malaya wengine, tazama clip nyingine Mkenya mwenzao kaweka wazi kila kitu.

Wala haliwahusu wenyewe wenye nchi, wote wageni hao, mwanamme na wanawake.

Mkisikia uchafu wa uasherati na uzinzi ndiyo huo. Uislam unasema msiusogelee.

Wameyataka wenyewe.

Hicho ndiyo ukisikia "kiranga komo".
Kuna dini inahimiza umalaya kama uislam? Angalia mashehe wakiwekwa ndani, wakirudi nyumbani kitu cha kwanza ni kuandika twalaka. ,Mnaziniana kama Wakongoman na wachaga. Nenda mitaa ya Ilala uone waganga njaa wanaojiita mashehe wanavyovunja ndoa za watu.
 
Unaongelea Uislam, tupe ushahidi Uislam umefundisha umalaya.

Kwa kuwa wewe umerusha shutuma nzito sana kwanza tupe ushahidi, ukishindwa basi elewa kuwa u muongo.
 
Ndipo
Akili
Yako
Ya kizandiki
Imeishi hapo
Ukafir
Ni
Ni mzigo
Mzito
 
Ndipo
Akili
Yako
Ya kizandiki
Imeishi hapo
Ukafir
Ni
Ni mzigo
Mzito
Kweli, hakuna
Kafir na mnafiquun kama wewe unaybeba imani za watu waliowatumikisha babu zako na kujikana. Mnapachikwa mpaka majina ya mawe na paka akina Livingstone, Abu Hurayra au baba wa mapaka, Seif au panga ila mkiitwa paka au panga mnagomba. Upuuuuziiiii mtuupu
 
Unaongelea Uislam, tupe ushahidi Uislam umefundisha umalaya.

Kwa kuwa wewe umerusha shutuma nzito sana kwanza tupe ushahidi, ukishindwa basi elewa kuwa u muongo.
Mosi kuoa wake wengi
Kuwafungia wanawake ili msiwatamani
Kuwavisha mininja kama maiti ili msiwatamani
Mbona yapo mengi
Kuoa wazee kama bosi wenu aliyeolewa na mama sawa na mama yake
Kupenda kuongelea mambo ya wanawake misikitini kwenye mawaidha
Leo hiyo inakutosha Faizafoxy
 
USHAURI WA BURE KWA BI FAIZA FOXY.

FaizaFoxy

Habari yako MAMA/Dada/bi Faiza.
Natumaini upo salama
Niende Moja kwa Moja kwenye MADA bila kupoteza Muda.

.WATU WENGI sana hapa jukwaani wamekuwa walitofautiana SANA na wewe,SIJAJUA HALI HII UNAICHUKULIAJE AU UNA ONAJE????

NINGEPENDA KUKUSHAURI uachane na vitu kama Hivi havitaweza KUKUSAIDIA Maisha yako......
: MIGOGORO.
: CHUKI.
: MABISHANO YASIYOKUWA NA MSINGI.
: UJUAJI USIO NA FAIDA .
: KIBURI.
: DHARAU.
: KUJIONA

Iweke akili yako Positive kuwa TAYARI kupokea MAARIFA mapya , UFAHAMU na UJUZI kutoka kwa watu wengine
USIWE NA ITIKADI KALI MNO.

JARIBU kujirekebisha, Mimi Imani yangu INASISTIZA sana UPENDO kama AMRI KUU namba Moja
Mpende na JIRANI YAKO kama NAFSI yako.

TAFUTENI kwa bidii kuwa na Amani na watu wote na huo utakatifu, maana hakuna atakayemuona Bwana asipokua nao.

EPUKA MIGOGORO NA WATU.
JISAHIHISHE.

CAPO DELGADO
 
Kanisa lapigwa radi,wakati wa kuozesha wanaume kwa wanume.
 
Attachments

  • received_793504982357271.mp4
    1.2 MB
Back
Top Bottom