Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Duuuuh, hatari sana washajiharibia maisha hao, vitu kama hivo sio vya kurekodi kabisa!
na ni lazima walisambaza kwenye mitandao ili kujipatia sifa, sasa yamewageuka.

Jamani vijana muangalie ni kitu gani cha kupost kwenye mtandao au hata kumtumia mwenzako kwani ukishakituma tu basi ndiyo imekuwa rekodi ya milele.
 
Noted, hao wanawake wana vitu wameficha ndani yao, sasa kidogo kidogo kupitia matendo yao ya siku hizi ndio wanaanza kuvitoa, hapo unaiona wazi chuki na hasira zilizopo ndani yao.

Naamini la muhimu hapa ni kumpa mtu uhuru autakao, kuhusu mambo ya kufuata sheria za dini au vinginevyo, aachiwe muhusika na Mungu wake, kwani unaweza kumpeleka n'gombe kunywa maji, lakini huwezi kumlazimisha ayanywe.
Ukisema kumpa mtu Uhuru autakao ni jambo zuri lakini make sure to be precisely kuwa huo Uhuru mipaka yake ni ipi maana hata watu wa LGBTQ nao wadai ni Uhuru na haki yao kufanya vile
 
Hao wanawake wana frustrations za kunyimwa uhuru wao muda mrefu kwa kisingizio cha kufuata dini, sasa watu wa aina hiyo inaonekana wazi nje wana vilemba na nguo za heshima, lakini ndani yao wamejaa chuki na vinyongo.

Cc: denooJ
Hacha uongo wako wewe hapo hakuna cha dini hao wanawake ni wakenye wanao fanya kazi za ndani saudia wamevamia huyo mwanaume kisa umalaya,hata dalali wao alie wapeleka huko kalaani kitendo hicho wewe unaleta uharo wako hapa
 
Huko shule ulienda kujifunza ujinga?

Leo umepata cha asubuhi? Maana naona unawaza mambo ya bao la kitandani asubuhi asubuhi.

Bibi, punguza jazba kila jambo linapotokea uarabuni. Akili yako hukutuma kwamba wanaoongelewa ni Waislamu. La hasha!.

Kama una stress tafuta tiba mapema.
Kama una stress tafuta tiba mapema.[emoji23] Msameheni ana kisukari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo haihusiani na mke wala mume.
. Umeanza tena uongo wako wa zamani, tulikukomesha uongo ukapunguza.

Naona umeanza kurudia kidogo kidogo.

Wacha uongo, hakuna mke wala mume wala wanawake zake hapo.

Hao wote ni malaya, huyo mwanamme na hao wanawake.
Si mnasemaga uarabuni ndio Kuna mlango wa mbingu ( kibla) hivyo hakuna dhambi ya umalaya? Hapo wauzaji ni hao hao Waafrika wa Mombasa , Zanzibar, Dar, na mikoa yote ya pwani wanaofikiri wakifika uarabuni wamefika peponi na wanunuzi ndio hao huku Afrika tunawapiga kuanzia Mavazi ,chakula, lugha na tabia zote tufanane nao eti ni vijukuu vya mtume eti ni watakatifu Sana haya mmeumbuana din ya aman
 
Back
Top Bottom