Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

feza f
Wewe ni bonge la mpuuzi kama hujaelewa kaa kimya ama kama huna mb za kuangalia usiforce! Ni wapi nimeandika mke na mume juha wewe[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemgonga za mbavu nyingi sana... Halafu umemaliza na ya utosi.....

FaizaFoxy leo watu wamekutolea uvivu. Sisi waarabu wa Buza tupo na wewe mwarabu mwenzetu wa kwa mpalange. Jamaa ameamua kukukamua bila kilainishi.... Hatari sana.... Siku nyingine utaacha waarabu wenyewe weupe wajitetee... Wewe watu wamekuweka kiporo muda mrefu sasa wameamua kukuraaaa...... Hawataki masikhara. WanakukuRAAAAAAA tu.....
 
Ukiona mtu anaanza kutukana ujuwe hoja imemuingia.
 
Hii ni bonge la kesi hawa wadada watakula, wanaweza kupewa kesi ya;

1) "ATTEMPT MURDER/KUTAKA KUUA.
2) BATTERY/KUPIGA.
3) ASSAULT & CAUSING GREVIOUS BODILY HARM/KUSHAMBULIA NA KUJERUHI.
Bush lawyer unapika kesi mezani. Unadhan hao wadada wajinga wazubae hapo mpaka wakamatwe? Hao watakua washafika Kenya kitambo ndo wakaachia video
 
Wewe ni bonge la mpuuzi kama hujaelewa kaa kimya ama kama huna mb za kuangalia usiforce! Ni wapi nimeandika mke na mume juha wewe[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe mkuu inaonesha aliandika akiwa na usingizi pia imechangiwa na mahaba makubwa aliyonayo kwa waarabu, maana kuna baadhi ya maneno kayakosea kosea pia.
 
Back
Top Bottom