Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

USHAURI WA BURE KWA BI FAIZA FOXY.

FaizaFoxy

Habari yako MAMA/Dada/bi Faiza.
Natumaini upo salama
Niende Moja kwa Moja kwenye MADA bila kupoteza Muda.

.WATU WENGI sana hapa jukwaani wamekuwa walitofautiana SANA na wewe,SIJAJUA HALI HII UNAICHUKULIAJE AU UNA ONAJE????

NINGEPENDA KUKUSHAURI uachane na vitu kama Hivi havitaweza KUKUSAIDIA Maisha yako......
: MIGOGORO.
: CHUKI.
: MABISHANO YASIYOKUWA NA MSINGI.
: UJUAJI USIO NA FAIDA .
: KIBURI.
: DHARAU.
: KUJIONA

Iweke akili yako Positive kuwa TAYARI kupokea MAARIFA mapya , UFAHAMU na UJUZI kutoka kwa watu wengine
USIWE NA ITIKADI KALI MNO.

JARIBU kujirekebisha, Mimi Imani yangu INASISTIZA sana UPENDO kama AMRI KUU namba Moja
Mpende na JIRANI YAKO kama NAFSI yako.

TAFUTENI kwa bidii kuwa na Amani na watu wote na huo utakatifu, maana hakuna atakayemuona Bwana asipokua nao.

EPUKA MIGOGORO NA WATU.
JISAHIHISHE.

CAPO DELGADO
TAFUTENI kwa bidii kuwa na Amani na watu wote na huo utakatifu, maana hakuna atakayemuona Bwana asipokua nao. [emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jpo walichofanya ni kutokana na hasira na trauma, wamelinda hadhi ya mtu mweusi. Wote walioko ughaibuni wangekuwa na spirit kama hii, huu upumbavu wa kudhalilisha watu weusi ungekoma. I love this thing God knows. Wakiwabaka nanyi waueni. Jicho kwa jicho ndiyo sheria ya kiarabu.
Hizi ni sura za kihindi,sio muarabu,huyu atakuwa ni muhindi,wanafanyakazi za nyumbani pamoja na hawa wanawake,wenye nyumba wametoka wameachwa wafanyakazi,itskuwa huyu anawachongea wafanyakazi webzake kwa boss wao:
1:Nchi za arabuni wanaovyaa shati na suruali ni wahindi,waarabu wenyeji waarabu hawavai hivyo.Labda iwe nchi ya kiarabu iliyoko Afrika,na nchi za kiarabu za Afrika hawachukui wafanyakazi wa ndani kutoka nchi nyingine.
2:Mwanamme anaongea kwa lafidhi ya kihindi:.
3:Waarabu ni wakorofi,:asingetulia hivyo apigwe,:angenyanyuka na kuminyana nao.
 
Walichokifanya hawa wadada nimefrahi mpka nimeamua kuchinja kuku wangu tetea anaetaga [emoji39]. Tuweke hili pembeni ila ingekuwa ni mimi ndo huyo mwarabu ahsee hao wanawake wote wangekuwa mochwari wangekula vichwa na ngumi za misindiko mpaka wangeona tumbo la uzazi linatoa watoto mapacha
 
Kanisa lapigwa radi,wakati wa kuozesha wanaume kwa wanume.

ANGALIA BIBLIA INASEMAJE MKUU.
JIKITE KWENYE MAFUNDISHO YA BIBLIA.

NAMPENDA sana YESU ANAKAZIA ANASEMA....

Mt 15:8-9
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu NA SI YA MUNGU

OGOPA SANA WATU WANAOFUATA MAFUNDISHO NA MAAGIZO YA WANADAMU NA SI YA MUNGU.

Hakuna sehemu Biblia INASEMA wanaume kwa WANAUME waoane na inakataza mno Ushoga.

Ila UKIENDA SEHEMU NYINGI ALIZOISHI MWARABU AMEADCHA MATATIZO MAKUBWA MNO.

: MOMBASA.
: LAMU.
: ZANZIBAR.
: PEMBA

HUKU KUNA USHOGA NA UFIRAJI MWINGI MNO.

Labda wanamuiga MWAMEDI aliyekuwa ANANYONYA ULIMI WA ALL HASSANA.
MTUME MWENYEWE ANASISITIZA WANAUME WAWAINGILIE WAKE ZAO KWA NYUMA.

(wake zenu ni kongwa zenu waingilieni)

WAMELAANIWA.
 
Noted, hao wanawake wana vitu wameficha ndani yao, sasa kidogo kidogo kupitia matendo yao ya siku hizi ndio wanaanza kuvitoa, hapo unaiona wazi chuki na hasira zilizopo ndani yao.

Naamini la muhimu hapa ni kumpa mtu uhuru autakao, kuhusu mambo ya kufuata sheria za dini au vinginevyo, aachiwe muhusika na Mungu wake, kwani unaweza kumpeleka n'gombe kunywa maji, lakini huwezi kumlazimisha ayanywe.
Mbona wazee wetu walichomewa vijumba vyao vya kuabudia, wakalazimishwa kuingia makanisani. Ukristu nao haukuja ka ihari mwanzoni. Hata sasa utaambiwa kama unabaki na dini yako lakini watoto utakao zaa watalelewa kikatoliki. Je, huu ni uungwana?
 
Walichokifanya hawa wadada nimefrahi mpka nimeamua kuchinja kuku wangu tetea anaetaga [emoji39]. Tuweke hili pembeni ila ingekuwa ni mimi ndo huyo mwarabu ahsee hao wanawake wote wangekuwa mochwari wangekula vichwa na ngumi za misindiko mpaka wangeona tumbo la uzazi linatoa watoto mapacha
Sio muarabu huyo,ni muhindi,huyu atakuwa ni mfanyakazi mwenzao,wahindi wanaajiriwa nchi za kiarabu,wanaume na wanawake,mwanamme anakuwa mlinzi na mfungua gets la gari.Itakuwa wenye nyumba wqmetoka,wamebakishwa wafanyakazi,na huyu itakuwa anawachongea kwa boss au metembea nao kimapenzi wote,walipogundua ndio wana wivu.Waarabu wa nchi za kiarabu,nje ya Afrika,hawavai suruali na shati,wanavyaa kanzu,na ni wakorofi,hapo asingepigwa,angewaminya wote hao.
 
Sasa moto unawawakia uarabuni

View attachment 2647533
Kukinukisha ndio nini.kama wamefanya umalaya halafu wakafanya na uhalifu watafutwe washikishwe adabu. zile sheria za mambo ya uhalifu za kiislamu Saudia wameanza kuzipuuza kwa kuogopa mabwana zao.Zingetekelezwa kisawasawa kwa wenyeji na wageni basi mambo yangekuwa safi sana.
Angalia Iran ilivyotulia sasa baada ya kushikishwa adabu wale vibaraka wa wazungu.
 
Kukinukisha ndio nini[emoji1542] smell it![emoji1542]闻一闻

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio muarabu huyo,ni muhindi,huyu atakuwa ni mfanyakazi mwenzao,wahindi wanaajiriwa nchi za kiarabu,wanaume na wanawake,mwanamme anakuwa mlinzi na mfungua gets la gari.Itakuwa wenye nyumba wqmetoka,wamebakishwa wafanyakazi,na huyu itakuwa anawachongea kwa boss au metembea nao kimapenzi wote,walipogundua ndio wana wivu.Waarabu wa nchi za kiarabu,nje ya Afrika,hawavai suruali na shati,wanavyaa kanzu,na ni wakorofi,hapo asingepigwa,angewaminya wote hao.
uyo jamaa sio muhindi ni msudani
 
Ila sasa wanapelekewa moto Wakenya wote waliopo huko, hasa wasio na documents

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefanya ujinga mkubwa.
Kuna sehemu sio za kwenda kufanya umalaya hasa Uarabuni.
Wasubiri tu adhabu ya kifo.
Bado hatuna taarifa kamili kama kweli wamekamatwa au waliweza kuondoka mapema.
Lakini yoteyote wameiharibia sana jamii ya wakenya na watu weusi wengine.
Hao Arab-Sudanese ni watu wa ovyo watafanya mazito kulipa kisasi.
 
Habari zao bado zinachanganya lakini hata kama waliweza kuondoka wamewaachia wenzao kiama tena ambao wanafanya shughuli zao kwa hallali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom