Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,527
Hapo umeshasema wanagombana it means wanafanana haiba. Mwanamke akikuletea swaga za kiume mtreat the same way utamtreat mwanaume sio unamlea lea hapo ndipo dharau zinapoanzia maana atakwenda waambia wenzake mwanaume mjibu hakuna kitu atakufanya.Watu wanakariri kuna wanawake wana nguvu wanagombana hadi na kaka zao
Unatakiwa umpe the taste of her medicine ili akitoka hapo wenzake wajue somo lina contents gani bila hata ya kuuliza.
Piga ngumi za kiume kama yule mwamba wa Arusha hapo akitoka itamkaa kichwani kuwa wanaume wanapiga unapojaribu kuwachallenge kupigana.