Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Tulikubaliana ukiweja video toa na maelezo ya kile kilichomo ndani ya tukio, sasa sinema 4 bila Mb's tunaelewa nini?.
 
Mkuu Uarabuni umalaya unalipa sana kwa waafrika kuliko hata ma Europe. kosa lao hao wadada ni hiyo mihemko yao, Jamaa kama alikua anajifanya mjanja walikuwa wampotezee tu maisha yaendelee.
Unalipa ni kweli lakini risk sana mkuu. Yaani sishauri kabisa. Bora kwa Dubenga lakini sio Saudia.
Na ni kweli kuhusu hao malaya wamezingua. Laiti wangeona huu ushauri wako.
 
Unalipa ni kweli lakini risk sana mkuu. Yaani sishauri kabisa. Bora kwa Dubenga lakini sio Saudia.
Na ni kweli kuhusu hao malaya wamezingua. Laiti wangeona huu ushauri wako.

Yap Saudi ni kweli very risky, Ila U.A.E na Oman wanapiga hela kinoma na wanajiachia kabisa.
 
Siwezi mlaumu mwanaume aliempa talaka maana inataka moyo wa chuma kuishi na mtu anaejifanya mjuaji wa kila jambo.

Hashindwi hata kumfundisha mumewe jinsi ya kuushika uume wakati wa kujamiiana kama vile na yeye anao huo uume.
Kibibi muda kimeshalala ikifika saa tano usiku kiko macho kama mwanga ama kiko macho laki haKina bundle au umeme kinasubiri kiombe toka kwa wasamaria au kudanga![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sio menopause imemjia vibaya basi hakika kagundua mumewe ameoa binti mdogo zaidi yake kiasi cha kumpa chuki dhidi ya dunia yote.[emoji23]
Hana Mike ni mtalaka ndio maana stress zinamzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na heshima bhasi hata kwa wasiokuhusu
Huo ni udhalilishaji wa kijinsia kumbuka hata wewe pia umezaliwa na mwanamke
Usisahau ulipotoka ukakejeli na kutweza.
 
Kibibi muda kimeshalala ikifika saa tano usiku kiko macho kama mwanga ama kiko macho laki haKina bundle au umeme kinasubiri kiombe toka kwa wasamaria au kudanga![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo sio uanaume Wala ujanja kudhalilisha na kutweza ni dalili za ushamba na uoga
Kuwa kiakili na kimaarifa sio kimaumbile tu
 
Halafu ukute ni mgiriama mweusi kama ngozi ya tako anaetaka kujinasibisha na uarabu kiasi cha kujiteua kuwa msemaji wa waarabu wote.

Huyu bibi anashindwa kuelewa kuwa uarabu sio uislam.

Na siku hizi ni kama vile amekuja kishari tu maana zamani tulimzoea kujifanya kwake mswahili zaidi kurekebisha watu. Siku hizi amekuwa na kebehi juu. Amekaa kishari shari tu.

Kama sio menopause imemjia vibaya basi hakika kagundua mumewe ameoa binti mdogo zaidi yake kiasi cha kumpa chuki dhidi ya dunia yote.
First born wake ana 40+, unadhani menopause ipo bado, huyu hata kwangu aweza kuwa bimkubwa, kifupi tayari yupo kundi la wazee. Anapenda tu kukera yani.
 
Haya mademu wenu walofanya umafia wamekamatwa, muende mkawatetee sasa!!
 
Your request is my command!

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot-2022-05-23-at-16.37.19.jpg
maxresdefault.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom