Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Hao wanawake wana frustrations za kunyimwa uhuru wao muda mrefu kwa kisingizio cha kufuata dini, sasa watu wa aina hiyo inaonekana wazi nje wana vilemba na nguo za heshima, lakini ndani yao wamejaa chuki na vinyongo.

Cc: denooJ
Noted, hao wanawake wana vitu wameficha ndani yao, sasa kidogo kidogo kupitia matendo yao ya siku hizi ndio wanaanza kuvitoa, hapo unaiona wazi chuki na hasira zilizopo ndani yao.

Naamini la muhimu hapa ni kumpa mtu uhuru autakao, kuhusu mambo ya kufuata sheria za dini au vinginevyo, aachiwe muhusika na Mungu wake, kwani unaweza kumpeleka n'gombe kunywa maji, lakini huwezi kumlazimisha ayanywe.
 
Back
Top Bottom