Video: Wanawake Wakenya walivyokinukisha uarabuni

Hao wanawake wana frustrations za kunyimwa uhuru wao muda mrefu kwa kisingizio cha kufuata dini, sasa watu wa aina hiyo inaonekana wazi nje wana vilemba na nguo za heshima, lakini ndani yao wamejaa chuki na vinyongo.

Cc: denooJ
Uhuru upi wananonyimwa? usiingize dini hapo tafadhali.

Hao ni malaya kama malaya wengine, tazama clip nyingine Mkenya mwenzao kaweka wazi kila kitu.

Wala haliwahusu wenyewe wenye nchi, wote wageni hao, mwanamme na wanawake.

Mkisikia uchafu wa uasherati na uzinzi ndiyo huo. Uislam unasema msiusogelee.

Wameyataka wenyewe.

Hicho ndiyo ukisikia "kiranga komo".
 
Mbona kama umechanganya madesa mkuu? Hao si ni wale Wakenya wanaendaga kufanya kazi za ndani huko Uarabuni!
 
Uhuru upi wananonyimwa? usiingize dini hapo tafadhali.

Hao ni malaya kama malaya wengine, tazama clip nyingine Mkenya mwenzao kaweka wazi kila kitu.

Wala haliwahusu wenyewe wenye nchi, wote wageni hao, mwanamme na wanawake.

Mkisikia uchafu wa uasherati na uzinzi ndiyo huo. Uislam unasema msiusogelee.

Wameyataka wenyewe.

Hicho ndiyo ukisikia "kiranga komo".
Hapa sasa nimekuelewa Shangazi,
 
Wangechukua cm tu na kichapo cha kawaida, kumkata uume ilipelekea apoteze damu nyingi na bila kumuwahisha hospital lazima ufe.
Walimnyofoa uume asee ndio maana na wao hua wanawawashia Moto wakienda huko wanawaangusha kwenye magorofa, pardon
 
Uhuru upi wananonyimwa? usiingize dini hapo tafadhali.

Hao ni malaya kama malaya wengine, tazama clip nyingine Mkenya mwenzao kaweka wazi kila kitu.

Wala haliwahusu wenyewe wenye nchi, wote wageni hao, mwanamme na wanawake.

Mkisikia uchafu wa uasherati na uzinzi ndiyo huo. Uislam unasema msiusogelee.

Wameyataka wenyewe.

Hicho ndiyo ukisikia "kiranga komo".
wananonyimwa-wanaonyimwa
 
Back
Top Bottom