Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,841
- 11,575
Wajinga sana.Habari zao bado zinachanganya lakini hata kama waliweza kuondoka wamewaachia wenzao kiama tena ambao wanafanya shughuli zao kwa hallali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya kazi Uarabuni. Waarabu ni watu wa majivuno. Nadhani ni ile silka ya mwanadamu anapokua na utajiri.
Katika race nadhani naweza kuwasifu wamejitahidi kwenye hili ni wazungu. Wazungu si sana kuwa na majivuno kwa kuendeshwa na utajiri wa mali.
Lakini licha ya yote ukienda kihalali na kufanya yaliyokupeleka hawana shida. Na zaidi ukifanyiwa visivyo mamlaka zao katika kitu nawakubali hutodhulumiwa haki yako mradi unaishi kihalali. Ila ukienda kimagumashi plus kazi sio. Utajuta!