Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,906
- 19,734
Haaaaa Haaaaa 😂Soma bichwa lako la habari umeandika nini?
Haaaaa Haaaaa 😂Soma bichwa lako la habari umeandika nini?
halafu huyu bibi ni mlevi wa gongo, hapa anajinasibu kivingine. Akipiga vyombo anakuja tema shit hapa huku akijifanya muarabu kuliko hata OsamaHapa umesemaje Shangazi yangu sijaelewa tafasiri tafadhari please I beg o
Hata Mimi wote FaizaFoxy na Mshana Jr nawaheshimu Sasa naona Leo nimeshindwa hata kusema. Maishani jukwaani miakanna miaka sijawahi ona wakitukana pole...mtaalaam Mshana Jr na bi mkubwa FaizaFoxy chagueni upande wa heshimaDuh Asee! pamoja na yote kumbuka huyu ni madam ndugu, usimtolee maneno kama haya. amekosea tu.
Wakenya wanamaisha magumu sana kwaoAcha wanyooshwe hao wakenya
ExactlyHiyo haihusiani na mke wala mume.
. Umeanza tena uongo wako wa zamani, tulikukomesha uongo ukapunguza.
Naona umeanza kurudia kidogo kidogo.
Wacha uongo, hakuna mke wala mume wala wanawake zake hapo.
Hao wote ni malaya, huyo mwanamme na hao wanawake.
Kwa heshima yako hapa JF ulipaswa uwe na staha zaidi katika kuwakilisha hoja zako kuepuka kukosewa adabu.Hiyo haihusiani na mke wala mume.
. Umeanza tena uongo wako wa zamani, tulikukomesha uongo ukapunguza.
Naona umeanza kurudia kidogo kidogo.
Wacha uongo, hakuna mke wala mume wala wanawake zake hapo.
Hao wote ni malaya, huyo mwanamme na hao wanawake.
Huyo bibi ni mpuuzi ana stress za maisha hana akili na huo ndio ukweli.. Na ili kutafuta nafuu ya maumivu yake hutafuta pa kuyatolea
Anapiga shisha akili ikae sawa kwanza. Akija ataanza kutapika kiarabu🤣🤣🤣bibi faiza werayuu?
umekiwasha alafu umekimbia, ebu kuja uwatete warabu.
Sio huyo ni huyuhalafu huyu bibi ni mlevi wa gongo, hapa anajinasibu kivingine. Akipiga vyombo anakuja tema shit hapa.
View attachment 2647933
Lkn nadhani iwe fundisho pia kazi za uarabuni sio poa
"Dunia ni uwanja wa fujo"Duuuuh, hatari sana washajiharibia maisha hao, vitu kama hivo sio vya kurekodi kabisa!
Kisa nini, mbona hakuna maelezo?
Yaani uumkate kweli sehemu hiyo kisa pesa ya kusuguliwa kishimo? This is too much!Wangechukua cm tu na kichapo cha kawaida, kumkata uume ilipelekea apoteze damu nyingi na bila kumuwahisha hospital lazima ufe.
wacha ujinga wakoapigwe mpka ALLAH ashuke
Ikiwa unadhani hao wamekwenda kufanya kazi za nyumbani basi fikiria tena vizuri.Lkn nadhani iwe fundisho pia kazi za uarabuni sio poa