Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

😂😂😂 kwani charge sheet imeandikwaje? Umesahau kuwa Katuga alitaka alete hayo mambo kwa ushahidi wa ziada akakataliwa na mahakama zote (mahakama kuu na mahakama ya rugaa)
Unapendeza sana mtu akiandika kika akiwa guided na facts na siyo emotions
Alikataliwa kwa sababu shahidi wa video alikuwa wongly procured. Yaani yeye ni mtaalamu wa picha za kawaida na siyo mtaalamu wa video.
 
Sasa kama alikinukisha au alivuruga Uchaguzi,mbona uchaguzi ulifanyika na mshindi akatangazwa kwa 98%?
Alikuwa na nani wakati wa kukinukisha?
Ilivyo ndiyo ilivyo, its what it is
 
Hao hao maji walikata hii video isiwe ushaidi mahakamani. Kwahiyo umeonyesha ukilaza wako. Punguzeni ushabiki kwenye mambo yaliyojuu ya uwezo wenu.
Walikataa isiletwe kwa kuwa shahidi hakuwa expert wa video bali picha mnato. Hiyo haimfutii uhaini
 
Kwanini aukatae huo ushahidi kama hauna tija? Aliukataa lwa sababu anajuwa alichongea ni uhaini kwa hiyo ukipolelewa atakutwa na hatia. Kama aliyosema siyo makosa angeacha iingie halafu a defend mantiki za maneno yake
Jaji anakuambia haangalii uzito wa ushahidi, ila anaangalia nia ya washitaki. Wakili wa serekali anasema haijalishi kama serekali ilitishika ama la. Hapo kuna mahakama serious?🤣
 
Ilivyo ndiyo ilivyo, its what it is
🤣 Uhaini wa kuzuia uchaguzi wa wizi, kisha ukafanyika uchaguzi wa wizi, na nyie vilaza mnajilipua kuja kuitetea huo upuuzi! Wazungu wanaachaje kutuita manyani?
 
Hochomoi hiyo huyo mwendawazimu

Amesababisha umwagaji damu na uharibifu mkubwa sana ndani ya Taifa hili

Ale kitanzi tuh fala huyo
Ni kweli, kwenye hizo mahakama za simu moja hachomoi. Yaani Samia anaamini akizitumia mahakama zitafanya tusione kuwa mauaji kafanya yeye ili asalie madarakani kwa wizi wa kura. Huyo shetani jike wa kizimkazi hata acheze na mahakama vipi, aunde tume vipi, hawezi kubadilisha ukweli.
 
uhaini na uasi tofauti ni nini? jeshi letu liliwahi kufanya uasi 1964 je ulikuwa uhaini? au vyote viwili. na je kuchochea uasi unakuwaje? naomba kuelemishwa
 

Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?

Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Nimeisevu hii halafu nataka niitumbukize kwenye AI initafsirie neno kwa neno, nitarudi na mrejesho
Nina uhakika hachomoki na alichokisema na hasa ukizingatia matukio yaliyofuata
 
Chadema wanachokataa business as usual kwamba masiishi kwa hisani ya CCM ndio maana wamekubali kutoshindwa kama wakiweza kwenye hili kutakuwa na mabadiliko makubwa

Kushinda kwa Lissu hakuna faida yoyote kwa Upinzani au Chadema kama Chadema

Lissu ikiwa atashinda kesi manake niyeye binafsi hatadai Fidia
Ya kupotezewa muda wake nk.

Ndiomana nikasema ingekuwa Wapinzani wana MAONO
makubwa
Huu sio muda kusumbuana Mahakamani👈

kisa kuishinda Jamhuri au kusumbuka na faida ya Fidia

Wapinzani wa kweli lazima wawe kwa maslahi mapana ya Kitaifa
Kujenga japo kibanda cha kufanya wakumbukwe kwaajili ya Vizazi vijavyo kwazaidi ya miaka 50 ijayo

Lissu anaweza kupata aibu kidogo ya kufanya Maridhiano wapo watasema kashindwa mana kwenye wengi kuna mengi

lkn yeye Moyoni akawa na Sababu za msingi kutoa muda huu kukimbizana na Mchakato wa KATIBA Mpya👈

Heshima ikiambatana
na sifa
huja kwa kuchelewa mpaka watu watasmini kile umefanya jana 👈

kwa wkt ule wanaweza Kuchelewa kukiona lkn wakaja kukuelewa baadae sn👈

tofauti na Sifa
Sifa leo leo tu utapata na kuondoka muda mfupi ujao❗️

Lissu Elimu yake inaweza isije kukumbukukwa na ikiwa maamuzi yake yatakosa tafakari kuu kufanya kitu kwaajili ya Vizazi vijavyo👈

KATIBA Mpya ni dai la wengi sio tu waliokufa Mo29 kuna wengine walikufa 2001
Katiba mpya ni sawa na maji ya kunywa kwa Upinzani 👈

Kunapotokea fursa niwazi kwanza Wapinzani wangejielekeza uko badala ya kushindana na Jamhuri kupitia kesi hisiokwisha leo
wala kesho ✍️

Wazungu wanatuona watu weusi tuna uwoni .mdogo wa mambo
Lkn kuna wakati tujikichunguza kwa makini kuna ka Ukweli

Watu weusi tuna umimi sana kuliko maslahi ya wengi hatuna kusoma maitaji ya nyakati

Tukikazania jambo letu Akili yote ipo uko kama sasa Akili ipo kwenye kesi ya Lissu

Kumbe nyakati izi tulipaswa kuwa kwenye kilio ya miaka mingi kuusu KATIBA mpyaa✍️

Tuseme iwe bahati tujielekeza uko kwenye KATIBA kwa wakati❗️

lkn napo kuna kizingiti kengine
Katiba Mpya yenyewe sio lazima Mpate kilakitu Mnataka kwa wakati huu‼️
Kidogo kisigomewe japo vikwazo vinapungua tofauti na jana✅️

Lkn napo tutaanza Ushindani mpya wa Panya na Paka‼️

sisi tunataka aya 👈‼️
Nawale wanataka yale ❗️👈

Mwisho tunakwama kubishana jambo lile na lile muda wa uyo kiongozi unakwisha‼️👈

Mwisho wa siku inakuwa imekula kwa Upinzani wenyewe🤠🤠

kiongozi mpya hakija yeye hataki kusikia mchakato wowote
kuendelea🤠🤠
 
Binafsi siamini kwenye Upinzani lkn kuwepo kwa Sheria nzuri za namna ya kuchaguana Viongozi mbali mbali yumkin ikapunguza ukakasi kwenye Chaguzi zetu siku zijazo na kupunguza malalamiko kadiri iwezekanavyo✍️
 
View attachment 3654709

Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?

Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Unaungaunga video ilikupata usahihi wa ilo unalotaka ku
Acha uzwazwa!?
Zitengannishe basi halafu tujadili unayoitaka
Sina haja ya kujadili hayo, ningetaka ningefungua nyuzi
Nimejaribu kukwambia tuuh..
Kwamba hamna AIBU kabisaaaa!?
 
Nendeni mkamchomoe sasa hapo mahakamani

Ameshapigwa miti tayari na majaji
Nasema hivi, huyo jini jike wa kiisilamu hata afanye nini haweza kufunika ukweli. Uzuri kwa sasa kila mtu anajua mahakama zinatumika dhidi ya wenye haki. Hata atumie mahakama vipi, aunde tume vipi, ukweli uko na wazi. Kikubwa kila mtu anajua anatumia madaraka ya wizi kumfanyizia Lisu, kwani Lisu aliwataka wananchi wasiwe mazoba tena.
 
Back
Top Bottom