Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

Video: Uhaini wa Lissu uko hapa

Wewe Kilaza kweli...! Jamuhuri ndiyo waeleze wao kwamba alimaanisha nini...?Lissu awahoji wamejuaje..maana uwezo wa kuwa kwenye fikra zake nao hawana..??
Mahakama iamue....

Note:Jamuhuri wameshafunga ushahidi wao.
Be humble acha kejeli. Wao tayari wameshasema ana kesi ya kujibu, ni juu yake kuprove kuwa haikuwa uhaini
 
Waandamanaji walilipwa na watu kutoka nje, ndio maana Lissu anamtaka mama yenu na wakuu wa vyombo vyake mahakamani 😁
Screenshot_20260821_131246_Google.jpg
Screenshot_20260821_131438_Google.jpg
Screenshot_20260821_131550_Google.jpg
 
View attachment 3654709

Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?

Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Nimecheka kwa nguvu, Lisu kashitakiwa kwa hiyo kauli ya kuzuia uchaguzi wa wizi, kisha rais katangazwa kwa kura 31m za wizi!
 
Kama ni huu ushahidi wa video ulishakataliwa na mtuhumiwa kuingia mahakamani, kwa sababu ulikosa vigezo vinavyotakiwa! Kama ni kuhusu hilo neno kukinukisha, halina uhusiano na uhaini! Mashahidi wa upande wa mashtaka walishindwa kuthibitisha pasi na shaka! Yaliyotokea Oktoba 29 nayo hayahusiani na Lissu kwa sababu hakuwa kiongozi au mratibu wake!

Mimi ni Bush lawyer tu, lakini ninaona kabisa Majaji wako upande wa serikali kwa kuendelea kuikumbatia hii kesi ya kupikwa.
Kwanini aukatae huo ushahidi kama hauna tija? Aliukataa lwa sababu anajuwa alichongea ni uhaini kwa hiyo ukipolelewa atakutwa na hatia. Kama aliyosema siyo makosa angeacha iingie halafu a defend mantiki za maneno yake
 
Na yaliyotokea 29/10 /26 huoni kama walipita kwenye script yake??
😂😂😂 kwani charge sheet imeandikwaje? Umesahau kuwa Katuga alitaka alete hayo mambo kwa ushahidi wa ziada akakataliwa na mahakama zote (mahakama kuu na mahakama ya rugaa)
Unapendeza sana mtu akiandika kika akiwa guided na facts na siyo emotions
 
Usichoelewa ni kuwa kuzuia uchaguzi siyo uhaini, pia disobedience siyo uhaini na kwa taarifa zaidi vyama vyote vya upinzani mara zote ni disobidient kwa serikali iliyopo madarakani yaani vinaipinga 24x7 hivyo kutotii masharti / sheria na kanuni za uchaguzi siyo uhaini.
Nenei uhaini kuiondoa serikali madarakani kwa nguvu na siyo kutokubaliana nayo au kutoitii.
Kwanini sasa kama siyo uhaini alikataa ushahidi wa video usipokelewe kama ushahidi?
 
View attachment 3654709

Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?

Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Hao hao maji walikata hii video isiwe ushaidi mahakamani. Kwahiyo umeonyesha ukilaza wako. Punguzeni ushabiki kwenye mambo yaliyojuu ya uwezo wenu.
 
Pumbavu we matako. Lissu anahusika na ghasia za 29/10? Yeye alikuwa gerezani anahusika vipi?
WanaCCM wasiomtaka ndio waliingia barabarani. Hadi leo hii hawamtaki.
Alipanga akaacha ramani ndipo akatiwa nguvuni. Huku nyuma watu wakatekeleza kadri ya maelekezo
 
Kwanini aukatae huo ushahidi kama hauna tija? Aliukataa lwa sababu anajuwa alichongea ni uhaini kwa hiyo ukipolelewa atakutwa na hatia. Kama aliyosema siyo makosa angeacha iingie halafu a defend mantiki za maneno yake
Huu uhaini wa kulazimisha unafanya kazi kwenye mahakama za kangaroo tu.
 
View attachment 3654709

Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?

Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Ogopa mahakama ya wananchi. Usidhani upuuzi wako unaweza kufunika ugqidi na uhaini wa CCM
 
Alipanga akaacha ramani ndipo akatiwa nguvuni. Huku nyuma watu wakatekeleza kadri ya maelekezo
Alipanga hiyo ramani peke yake? Kama kuna watu alipanga nao ramani ilikuwaje hawakukamatwa naye! badala yake wakaachwa hadi wakatekeleza hayo maelekezo? Hivi inakuwaje watu wengi mlioko serikalini mna low thinking capacity?
 
Mzee Wasira kiumri ni mkubwa kufananisha na Viongozi wa Chadema wenye nafasi za kiutendaji

Busara za kumuheshimu Mzee Wasira zingemchomoa Lissu mapema zaidi

Kwakufqnyika Maridhiano ✅️

Lkn watoto wabishi wanataka kushinda kesi
Dhidi ya Jamhuri ili wadai Fidia❌️

Ktk ili Visafari vya Mahakamani vitadumu muda mrefu🤔🤔

Madhara yake kwa Afya ya Upinzani Tanzania
Moja wapo❗️ muda huu kama Lissu angekuwa huru
Angetoa mchango mkubwa kwenye Mabadiriko ya KATIBA mpya

Kwasasa vyama vya upinzani walipaswa viwe kwenye vikao juu ya Mustakabali wa KATIBA mpya

Niwakati pekee nadra unapotea kwaajili ya Ushindani wa maslahi Binafsi ya Lissu ukweli
utabaki ivyo👈

Chadema kingepaswa kuwa Sehemu ya Mchakato huu
kwasasa👈

Sababu CCM chini makamu wake Mzee Wasira kashasema zamani wapo tayali kwa Maridhiano👈

Niwakumbushe historia inashabiaana na kwamba Mabadiriko ya KATIBA ufanywa na Rais yule tu kwa muda uho hayupo tena kwenye Uchaguzi👈

kwaamaana muda wake kikatiba kugombea hawezi 👈

Rais uyo ndio mnaweza kukaa nae kufanya Mabadiriko yoyote kwenye Sheria au KATIBA kabisa kujenga msingi wake kuendana na vyama vingi✅️

Mkumbuke Mzee Jakaya Mrisho Kikwete kipindi chake cha mwisho ndipo kidogo tupate KATIBA mpya
Narudia kipindi chake cha mwisho lkn mchakato ukashindwa kumalizika😥

Mzee wetu Jakaya Mrisho Kikwete akasema kiongozi mpya ajaye atamalidhia mchakato mana muda wake ulikuwa sio rafiki tena❗️

Alipokuja Rais mpya naye ni rip JPM yeye hakutaka uwo mchakato mana ungemwathiri yeye kwanza 🤔🤔

Kumbe lazima tutambue Sasa Mabadiriko ya KATIBA yananyakati zake zikipita ndio zimepita‼️

Wapinzani kipindi kile wangekuwa wepesi kabla ya Rip JPM kuja kungekuwa tayali kushapatikana KATIBA mpya

Fursa ile ikapotea.
Kwa zaidi ya miaka 15 😥

Leo chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan tumepata tena ile Fursa sasa tusisaau tukichelewa ni wazi Rais mpya ajaye atakama ningekuwa mimi au ww usingekata tawi naww upo Juu ya
Mti uho uho❌️

Ungekataa kwamuda uho Mchakato wa KATIBA mpya❗️

Ivyo ingekuwa Wapinzani wapo kwa Maslahi ya kitaifa kutete Mabadiriko ya kweli Upinzani wa kweli wangejiongeza kupishana na Muda

Naamini kesi ya Lissu wangeimaliza wao ndani ya Chadema kwa njia ya Maridhiano ili wakimbizane na muda kuusu KATIBA mpyaa👈

Ikumbukwe kwasasa Chama cha Chadema hakina ruzuku yoyote kupitia Maridhiano ayo Chama kingepata hauweni ya kiuchumi kujiendesha kipindi ichi cha mchakato wa KATIBA Mpya ✅️

Kwamaana muda ndio huu Chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan kuupoteza muda huu manake tutangoja miaka 10 mengine kama sio zaidi ili tupate wakati mzuri kama wasasa😥😥.

Rais mwenye kumaliza muda wake lkn mwenye pia Utashi wa kusimamia Mabadiriko
ya KATIBA ✍️
 
Back
Top Bottom