Pia sio Uhaini. Je ni uasi juu ya nini?Je kuhamasisha uasi?
Nyerere alivyosema vijana wawe waaminifu wa mifumo kandamizi alikuwa anatenda uhaini?
Pia sio Uhaini. Je ni uasi juu ya nini?Je kuhamasisha uasi?
Hakuna cha uhaini bambika ya CCM na uoga wa ccm na roho mbaya ya chawa
Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Mh. MpangoWanaume suruali tu hao
Nasema hivi, huyo jini jike wa kiisilamu hata afanye nini haweza kufunika ukweli. Uzuri kwa sasa kila mtu anajua mahakama zinatumika dhidi ya wenye haki. Hata atumie mahakama vipi, aunde tume vipi, ukweli uko na wazi. Kikubwa kila mtu anajua anatumia madaraka ya wizi kumfanyizia Lisu, kwani Lisu aliwataka wananchi wasiwe mazoba tena.
Anza kusoma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 inaana kusema "Any person....." and not a group of persons ..... na kama mtu mmoja hawezi kushitakiwa kwa uhaini basi kwa siku ya leo asingekutwa na kesi ya kujibu maana ingeishia tu kwa kuonyesha such weakness kwamba ni mtu mmojaAlipanga hiyo ramani peke yake? Kama kuna watu alipanga nao ramani ilikuwaje hawakukamatwa naye! badala yake wakaachwa hadi wakatekeleza hayo maelekezo? Hivi inakuwaje watu wengi mlioko serikalini mna low thinking capacity?
Mumfunge mara 2? Huyo sio Mbowe useme atawanyenyekea nyie makhanithi.Tunamfunga yule kichaa
Yeye si alijifanya nunda?
Video imeungwa ungwa. Hapo alikuwa ana refer kauli ya G55Tukiacha ushabiki wa kisiasa kauli yake ilikua hatari sana maneno kama tutakinukisha, tutazuia uchaguzi, tutahamasisha uasi.
Ndiyo maana nakuhakikishia kuwa ile video ndiyo ina uhaini wakeUkiwa na kesi hakikisha sheria zinafuatwa
TL hakukataa ushahidi wa video bali aliionyesha mahakama kuwa ushahidi huo umeletwa kimakosa maana muwasilishaji hakutumiza matakwa ya kisheria na mahakama ukaikataa hiyo video na siyo TL aliyeikataa bali alionyesha mapungufu yake.
Nchi inaongozwa kwa Katba, na Rais ataindoka kikatiba siyo kwa vurugu za 29/10.Wakuu hivi tukitumia maneno hayo hayo ya kukinukisha kwa maana ile ile aliyoimaanisha yeye tukangeza na kuzuia uchaguzi kosa linakua wapi.. Huenda alimaanisha hivyo hivyo mnavyowaza nyie watawala, lakini ilikua kwa nia ya kuweka mambo sawa. Inawapa shida kwakua waathiriwa mlikua nyie.
Basi kwa mara ya kwanza kabisa dunia itashuhudia mtu mmoja akishtakiwa kwa kupanga peke yake kufanya uhaini, na mwisho wa siku akahukumiwa kunyongwa mpaka kifo. Kichekesho zaidi ni kushuhudia ushahidi wa mchongo nao ukipewa kipaumbele.Anza kusoma kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 inaana kusema "Any person....." and not a group of persons ..... na kama mtu mmoja hawezi kushitakiwa kwa uhaini basi kwa siku ya leo asingekutwa na kesi ya kujibu maana ingeishia tu kwa kuonyesha such weakness kwamba ni mtu mmoja
Walitengeneza molotov bombs kwenye chupa za nusu lita na walikuwa wanabeba mgongoni kwenye back bag. Walikuwa wana move kwa boda boda wakifika kwenye petrol station wanalipua kutumia molotov YodaSilaha sio bunduki tu, petrol na Silaha za jadi zinaweza kufanikisha uasi ndomana mo29 petrol ilitoa impact za kutosha.
Rais gani anachaguliwa kwa kupigiwa kura na makarani na wasimamizi wa huo unaoitwa uchaguzi!Nchi inaongozwa kwa Katba, na Rais ataindoka kikatiba siyo kwa vurugu za 29/10.
Tanzania lazima ilindwe kwa wivu mkubwa
Rufaa gani hiyo itakayo kubaliwa na mahakama ya rufaa wakati tayari mahakama hiyo hiyo ilisha toa uamuzi katika jambo hilo hilo? kumbuka , mahakama ya rufaa huwa haisikilizi ushahidi mpya... pigia mstari hapo...Akishinda kesi, akakatiwa rufaa na wakam procure video expert anayestahili, video itapokelewa
😅😅😅😅 Huwa mna utoto.Angeruhusu video iingie ndiyo apambane na hizo tafsiri dhidi ya akina Katuga. Kitendo cha kuizuia amejichelewesha sana
Hii dialogue haihitaji hasira, ukiwa na hoja toa kama huna pita shwaaa!Unaungaunga video ilikupata usahihi wa ilo unalotaka ku
Acha uzwazwa!?
Sina haja ya kujadili hayo, ningetaka ningefungua nyuzi
Nimejaribu kukwambia tuuh..
Kwamba hamna AIBU kabisaaaa!?
Boss, hadi hapa nakushauri ufanye ustaarabu na kukubali kuwa hoja hii imefeli. Bora uzingatie ushauri uliotolewa na wadau hapa uwaambie wakuu wako huko government wabadili mashtaka kuwa uchochezi. Halafu waipunguze ile patoon ya maninja wanaomsonga Lissu all the time na hali yake ile huko mahakamani. Wanatia aibu.
Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
Kama Nyerere alimaanisha unachotaka, mbona hakuwavumilia akina Kambona, Bibi Titi, Kasangatumbo, Mapalala, Seif Shariff Hamad, Horace Kolimba?Pia sio Uhaini. Je ni uasi juu ya nini?
Nyerere alivyosema vijana wawe waaminifu wa mifumo kandamizi alikuwa anatenda uhaini?