Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 63,297
- 106,784
Wangemfungulia kesi ya uchochezi angeendelea kubaki uraini anafanya harakati zake kwa sababu ina dhamana.Ukiweka ushabiki wa kisiasa pembeni ana kesi ya uchochezi. Uhaini ni kama umelazimishwa lazimishwa tu ndo maana hata kesi ya kujibu haizingatii uzito wa ushahidi.