Kwa wale wasioridhika na maamuzi ya jana ya jopo la majaji wa Mahakama kuu chini ya Jaji Ndunguru, wasikilize tena clip hiyo. Tundu lazima aeleze hiyo kauli ilikuwa ina maana gani?
Tundu alete mashahidi watakaomtoa kwenye hiyo kauli, na siyo drama za kumleta Rais, kitu ambacho kwa Katiba yetu hakiwezekani.
..uhaini hauwezi kuwepo bila kupanga njama, kuwa na silaha, na ku-target viongozi wa serikali. Hakuna uhaini wa mtu mmoja.