Venezuela yashambuliwa na Marekani

Venezuela yashambuliwa na Marekani

Kwamba jana alikuwa anaongea na Wachina?
20260103_130953.jpg

20260103_130947.jpg
 
Na kama unajiuliza kwa nini - hapa chini kuna ukweli:

1. Utawala wa Venezuela ulitaifisha na kunyang'anya, bila fidia, vituo vya mafuta vilivyomilikiwa na makampuni ya Marekani, na baadaye ukakataa kulipa mabilioni ya dola kama fidia iliyotolewa dhidi yake katika usuluhishi wa Benki ya Dunia.

2. Kuhamisha usimamizi wa tasnia ya mafuta ya Venezuela kutoka mikononi mwa watu binafsi hadi serikalini kulisababisha kuporomoka kwa uchumi wa nchi hata kabla ya vikwazo vya Marekani, ambavyo viliharakisha mchakato huo.

3. Ili kukabiliana na janga lililosababisha, utawala wa Chávez-Maduro ulipata mshirika mpya: Iran.

4. Venezuela na Iran zinashirikiana katika nyanja ya kijeshi (ikiwa ni pamoja na maendeleo ya ndege zisizo na rubani) na katika kuepuka vikwazo vya kimataifa na vya Marekani vilivyowekwa kwa zote mbili.

5. Venezuela chini ya uongozi wa Nicolás Maduro ni mchezaji anayehusika katika kuijaza Marekani dawa za kulevya. Kila mwaka, zaidi ya Wamarekani 100,000 hufa kutokana na matumizi ya dawa za kulevya kupita kiasi.

6. Kulingana na jumuiya ya kimataifa, Maduro alishindwa katika uchaguzi uliofanyika Venezuela na kughushi ushindi wake.

7. Utawala wa Maduro ni udikteta wa Bolshevik unaokandamiza upinzani wote kwa nguvu.
 
Maneneru hawakosi sababu
 
Ongea na raia wa Iran akupe ushuhuda acheni kuleta upumbavu.

Mnaipinga CCM tanzania ila yakitokea ya CCM nchi zingine mnaanza kuleta huruma.

Nakwambia Tena tafuta raia wa Iran akuchambulie issue za Iran tangu Nchi Yao ivamiwe na tawala za kiislam.

All in all utawala wa iran uliingia Kwa mapinduzi na wao wataondoka Kwa mapinduzi.
Kwa hiyo ukijua tu ishu ya Iran basi unaamua kuita watu wapumbavu sio nadhani Elimu mbovu zinawafanya watu kutokua na ustaarabu wa kutukana watu hovyo hovyo..
 
View attachment 3524512
View attachment 3524512
Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa.
View attachment 3524502
View attachment 3524512Updates:Baada ya mashambulizi yq masaa kadhaa USA wamemkamata nq kumchukua Rais Maduro wa Venezuela. Yuko njiani kupelekwa USA.
View attachment 3524553
CIA wapo kazini yote ni mafuta, Venezuela ndio inchi ya kwanza yenye reserves kubwa ya mafuta, Iran nae ajiandae ni mwendo wa propaganda zisizo na ukweli, ili mradi achukue mafuta.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Pgwny1BiCYk&t=71s&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

Yaani hawana aibu Trump anakwambia wamechukua mafuta yao now wanayataka yaani ubabe tu na kuchukua rasilimali za watu kinguvu naona wameona reserves waliyo ichukua Iraq,Libya inakaribia kuisha so wameigeukia Venezuela.

View: https://m.youtube.com/watch?v=XbZZfpdF6iY&pp=ygUgU2t5IG5ld3MgdXMgd2FudHMgVmVuZXp1ZWxhIG9pbHM%3D

UN hafanyi chochote ni sawa na jibwa lisilo na kucha wala meno,anachofanya US kwa Venezuela ni uhuni.
 
Back
Top Bottom