kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,751
- 12,140
Hapo wametuma ujumbe mkubwa sana kwa hawa viongozi wengine dunianiMkuu naona heshima inerudi. Kipigo cha masaa machache wanaingia na kumchukua Rais wa nchi?
US baby...
Cc. Nyani Ngabu
Hapo wametuma ujumbe mkubwa sana kwa hawa viongozi wengine dunianiMkuu naona heshima inerudi. Kipigo cha masaa machache wanaingia na kumchukua Rais wa nchi?
US baby...
Cc. Nyani Ngabu
Na hawakujali alijiandaa kwa namna gani.
Ni zaidi ya Ujumbe maana ndani ya masaa 3 wamekamilisha walichoendeaHapo wametuma ujumbe mkubwa sana kwa hawa viongozi wengine duniani
Vita ndio imeishia hapo, kama sinema vile, wakomunisti na wezi wa kura wana kamdomo na vitisho sana,Rais wa Venezuela na Mke wake wamekamatwa na wanapelekwa Marekani muda huu
Hata huyu waziri mkuu wa miundo mbinu na vitu mbali mbali nae ujumbe kaupata? Kwahiyo hatatufokea tena kuhusu mabeberu auHapo wametuma ujumbe mkubwa sana kwa hawa viongozi wengine duniani
Inatisha. Ukiiona movies za CIA,Navy Seal unaona kama wanajikuza sana ila jamaa wako mbali sana.Na inasemekana uongozi wote wa jeshi na mawaziri zaidi ya 5 wameuawa pamoja na washirika wa Maduro
Hapo ndo Putin na Urusi wanaonekana wajinga. Kila siku Zelensky anazurura ila hawajamuweza.Rais wa nchi anachukuliwa ndani ya masaa manne?
Bado sijathibitisha hii habari kwa hakika ila kwa mabeberu ishu ndogo sana hiyo na ingepigwa nyoso land hapa ni dakika tatu miguu chaliRais wa nchi anachukuliwa ndani ya masaa manne?
Lile Tangazo la Trump kuwa kawaruhusu CIA wafanye kazi ya kumkamata Maduro, binafsi niliona ni maigizo ya Trump ila nimewaogopa Wamarekani kabisaInatisha. Ukiiona movies za CIA,Navy Seal unaona kama wanajikuza sana ila jamaa wako mbali sana.
Hii naisubiri Netflix najua itatoka in details.
Mwezi mzima mtu anapiga jaramba kwenye kolido zako hufanyi chochote unategemea nn?Imekuwaje kirahisi hivyo Marekani kuingia ndani ya Venezuela, tena kwa kuingiza wanajeshi wa kumsaka Maduro?
Venezuela kwa ukubwa wake,Rais wao anachukuliwa kama kuku.alafu huku kuna mtu anawaita who are you?😀anajiamini ana nini huyu?NI balaa "who are you" sio wa kuchezea.
hahahah!Kombora lingine likagonge pale alipo manyonyo
Wiki yote hii naangalia series HOMELAND kwenye Netflix kuna vitu humu naona najiambiq hawa jamaa mbonawanajikuza hivi. Leo wamenithinitishia wao ni nani.Lile Tangazo la Trump kuwa kawaruhusu CIA wafanye kazi ya kumkamata Maduro, binafsi niliona ni maigizo ya Trump ila nimewaogopa Wamarekani kabisa
Hapa najua makampuni ya filamu za kivita za kimarekani wataanza kupigania tenda za kuandaa filamu ya hili tukio, tusishangae mwisho wa mwaka huu mzigo ukawa sokoniInatisha. Ukiiona movies za CIA,Navy Seal unaona kama wanajikuza sana ila jamaa wako mbali sana.
Hii naisubiri Netflix najua itatoka in details.