HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,935
- 102,690
Ila Putin kafeli vibaya mnoKama Putin vile
Ila Putin kafeli vibaya mnoKama Putin vile
Ww c unaona zile big nyonyo zilivyolala pale kwenye mbavu 😂Hahahaha akikunasa atapasua hizo mbupu
Anatupata wapi sasa.Hili kaburi ulilofukua ni zito sana, anaweza kutokea chawa likamuuma, kisha akajipa jukumu la kukutoa uhai,
Siku hizi kumwua mtoa maoni tofauti na watawala imekuwa rahisi na jambo la kawaida sana,
Trump anamuachia Putin aichukue ardhi ya Ukraine kirahisi, Putin hatamuingilia Trump huko VenezuelaKwanini China, Iran, Urusi, NKorea hawasaidiii?
Kuondoa Uongozi ndo jambo la maana, tofauti na hapo ni kujitekenya tuTrump anamuachia Putin aichukue ardhi ya Ukraine, Putin hatamuingilia Trump huko Venezuela
DahWw c unaona zile big nyonyo zilivyolala pale kwenye mbavu 😂
Bila kutumia pesa za umma kuliboost bc nyonyo zingefika magotini 😎
Hii picha vip😁Anatupata wapi sasa.View attachment 3524511
Mkuu, huyu Maduro na chama chake cha United Socialist Party ni wahuni wakubwa sana.USA anatumia ubabe kutaka kuchukua mafuta bure huko Venezuela na Iran utajiri wao ni wa kuua raia wengine ili wao waishi njema sio.
Wapo karibu sana na maandamano ya Iran kwa sababu ya mafuta.
YaaniKama Putin vile
Huku zile dhihaka zenu 'mabeberu wanatamani uranium yetu' hazipo?!.. naona mnatumia akili vizuri hukuUSA anatumia ubabe kutaka kuchukua mafuta bure huko Venezuela na Iran utajiri wao ni wa kuua raia wengine ili wao waishi njema sio.
Wapo karibu sana na maandamano ya Iran kwa sababu ya mafuta.
Kukamatika anakamatika tu wakiamua.😅 Yani ungekuwa unakamatika , angekubanika kama ndafu na kula nyama yako kidogo kidogo. Sio Kwa mawe unayompiga
Tazama haka kajingaMkuu, huyu Maduro na chama chake cha United Socialist Party ni wahuni wakubwa sana.
1. Toka 2013 amewafunga wapinzani na wengine amewapoteza kwa mamia.
2. Bunge la Venezuela ni kama bunge la Tz tu. Jamaa amedhibiti bunge na mahakama completely.
3. Ukiongoza nchi kwa namna hii, unauwa wapinzani hovyo, hujali lolote kwasababu una jeshi lazima wapinzani watatafuta namna yakupambana hata kama kwakushirikiana na nchi za nje.
4. Serikali ya Maduro ni corrupt vibaya sana, hela za mafuta zote zinaliwa na familia yake na watu wakaribu. Same story kinachoendelea hapa Tz.
October 29Hii picha vip😁
Nyi watu kufikiri huwa tabuVenezuela wazembe maana naona Marekani kapitisha ndege ndani ya Venezuela.
Kweli nimeamini CIA wakiruhusiwa wanafanya kweli
Mtaani njaa kali, unaweza kuuzwa na watu wako wa karibu kama Polepole,Anatupata wapi sasa.View attachment 3524511
Kuiuzia mafuta US kwa siku mapipa 1.4m kwa siku sio mchezoChevron, exxon mobil, bp
Wanaenda chimba mafuta kisha wanayauza Ulaya maana Urusi ndo imeisha
Wametoa silaha, Ukraine USA hasaidii kwa mbali,yuko deep kabisaHawana maslahi hapo. Mbona USA wenyewe Ukraine wanasaidia kwa mbaaaali?
Aiseee kweli duniani hakuna anayejua vita kama MarekaniKuiuzia mafuta US kwa siku mapipa milion.4 kwa siku sio mchezo
Venezuela ni nchi iliyokuwa ina supply mafuta kwa wingi US
Vita ya uchumi mbaya sana
In Magu voice