HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,994
- 102,827
Nchi nyingi za Afrika zinaweza vamiwa na isijulikane maana radar ni chache na hizo AA zina kutuHizi ndio huwa zinapigwa kwanza. Kama kule Iran.
Nchi nyingi za Afrika zinaweza vamiwa na isijulikane maana radar ni chache na hizo AA zina kutuHizi ndio huwa zinapigwa kwanza. Kama kule Iran.
Safi sanaMakazi ya Waziri wa Ulinzi yashambuliwa na yeye na wasaidizi wake hawapatikani.
Haijulikani kama kafa au la
Africa tuna shida mahaliIla kawasaidia Nigeria maana toka pale wale jamaa hawajachinga wala kuonekana tena
Mafuta bure?? Endelea kujifariji tu!!!USA anatumia ubabe kutaka kuchukua mafuta bure huko Venezuela na Iran utajiri wao ni wa kuua raia wengine ili wao waishi njema sio.
Wapo karibu sana na maandamano ya Iran kwa sababu ya mafuta.
Nchi iko uchi, nadhani kama wataivamia nchi kama Tanzania wakitaka kufanya yao ni masaa kadhaa wapo chamwino/magogoni.Makazi ya Waziri wa Ulinzi yalipuliwa.
Makao Makuu ya Jeshi, Wizara ya Ulinzi, Viwanja vya Ndege vyashambulia
Watekaji si wapo bwashee 😅Nchi iko uchi, nadhani kama wataivamia nchi kama Tanzania wakitaka kufanya yao ni masaa kadhaa wapo chamwino/magogoni.
Ndo lengo kuu hilo waje na AfrikaSafi sana
Inabidi Dunia iwe na heshima.
Haiwezekani majitu yanatesa raia wao
Kwa hiyo Maduro na Samia hawana tofauti? Kama ni hivyo basi wamarekani wamtandike na kumtoa madarakani.Mkuu, huyu Maduro na chama chake cha United Socialist Party ni wahuni wakubwa sana.
1. Toka 2013 amewafunga wapinzani na wengine amewapoteza kwa mamia.
2. Bunge la Venezuela ni kama bunge la Tz tu. Jamaa amedhibiti bunge na mahakama completely.
3. Ukiongoza nchi kwa namna hii, unauwa wapinzani hovyo, hujali lolote kwasababu una jeshi lazima wapinzani watatafuta namna yakupambana hata kama kwakushirikiana na nchi za nje.
4. Serikali ya Maduro ni corrupt vibaya sana, hela za mafuta zote zinaliwa na familia yake na watu wakaribu. Same story kinachoendelea hapa Tz.
Maana inaonekana wale jamaa walikuwa wanalindwa na watu ndani ya Serikali ya Nigeria, toka siku ile ile sehemu pamekuwa kimya sanaAfrica tuna shida mahali
Wale ni wajinga tu hata hawajielewi mangi, kuuwa watu hovyo njiani wakati hawana hata solaha, bwashee wale ni wajinga tu.Watekaji si wapo bwashee 😅
Kama alichokuwa anafanya Israel, ilikuwa hatari sanaTatizo wanaweza kuuq familia yoye kisa mtu mmoja. Huu nao ni ugaidi.
Tanzania wanapiga ngerengere, mwanza, Monduli, Upanga, Chamwino, Kigamboni, Twalipo, GongolambotoNchi iko uchi, nadhani kama wataivamia nchi kama Tanzania wakitaka kufanya yao ni masaa kadhaa wapo chamwino/magogoni.
US alikua mpole kwa mda mrefu sana , ikafika hatua mpaka wavimba macho wakawa wanamkoromeaWale ni wajinga tu hata hawajielewi mangi, kuuwa watu hovyo njiani wakati hawana hata solaha, bwashee wale ni wajinga tu.
Inaitwa ng'ombe wa masikini hazai, zimegeuka chuma chakavu kwa muda mfupi sanaWachina na Warusi walipeleka Anti Aircraft ila Wamarekani wameziharibu zote