Wanaume wamefsnya yao,
Nikiangslia hawa jwtz wetu na vijana wa TISS,ni vituko vitupu, wanachojua ni kuvimbisha makalio, na vitambi,kupiga makonda, kukimbiza magari, kuivunja sheria za barabarani ili wawahi,na mikwara mbuzi, ukiwaona wanevaa ma balaclava, unaweza ukadhani ni watu "well trained" Kumbe, kichwani, academically ni zero, physically hawana hata matial art skills,
Marine, wamemchukua Rais madulo ndani ya ikulu yake,! Fikiria wakija kumfsta samia! Wale mabishoo wanaomlinda samia! Mishuzi itawatoka, hawana LA maana zaidi ya kuvaa suit, mikwara mingi, ila ndio vilaza watupu