Kama Venezuela kafanywa hivi kama hivi JWTZ itawezaSure, hawawezi kupoteza misile ya gharama kupiga kwa Mtogole au Buza kutuuwa watu maskini wa kutupwa tunaoishi kwa miguu na utumbo wa kukuUzuri wa hawa jamaa wakiamua wanalengq wahusika tu. Yaani akina sisi tutakuwa tunaangalia kwenye TV vyombo vikishuka hapo karibu na soko la samaki.