Kwa kweli Maduro kazingua bora angeondoka mapema tu.Hawana maslahi hapo. Mbona USA wenyewe Ukraine wanasaidia kwa mbaaaali?
Eleza kidogo sababu za Trump kuipiga Venezuela ili tujue kama inaonewaHii itakuwa USA tu. Trump kapiga mkwala sana. USA waonevu sana.
Naamini wakimtaka wa kwetu hapa ni swala la saa 1 tuSio uzembe ni kuzidiwa nguvu ns teknolojia.
Mimi sijui, ndio maana nikakuulizaKwani USA ana sababu zipi za msingi lushsmbulia Venezuela?
Watamuachia kichaa Israel awaue wale viongozi, viongozi wakuu wakiondolewa tu basi.Iran watamuweza kweli?
Marekani anao uwezo wa kupigana vita zaidi ya 1Muda si muda China ataanza kumtandika Taiwan. Huu mwaka Kuna kitu.
Too lateMaduro kazi anayo, ila ndugu yake russia lazima ataokoa jahazi.