Mossad wanaranda randa pale TehranMwezi mzima mtu anapiga jaramba kwenye kolido zako hufanyi chochote unategemea nn?
Si wasogee hapa kwetuMwezi mzima mtu anapiga jaramba kwenye kolido zako hufanyi chochote unategemea nn?
Beberu mtu mbadMossad wanatanda randa pale Tehran
Hili wala halina ubishi wakimtaka wanamchukua mapema sana kuliko Maduro.....nimeandika nimefuta. Watoto wangu bado wadogo.
China hawezi kuigusa Taiwán beberu lipo macho kodo kisiwaniDunia ilitulia sana ngoja iwake.
Ila Taiwan atapigwa surprise moja hatari, Wachina watakuja kama wanafanya mazoezi kumbe ndo jumla
Movie nyingi huonesha ambacho kinaweza fanyika.Wiki yote hii naangalia series HOMELAND kwenye Netflix kuna vitu humu naona najiambiq hawa jamaa mbonawanajikuza hivi. Leo wamenithinitishia wao ni nani.
China mzembe sanaChina hawezi kuigusa Taiwán beberu lipo macho kodo kisiwani
Kwamba nae ana hofu..... Mbona amani na haki vimetamalaki....Hataki kukaa kwenye ardhi ya wapiga kura wake 31M 😂
Kila nikikumbuka wale makomandoo wa Venezuela walivyokuwa wanachora chora kwenye ramani strategies zao, naishia kushangaaWiki yote hii naangalia series HOMELAND kwenye Netflix kuna vitu humu naona najiambiq hawa jamaa mbonawanajikuza hivi. Leo wamenithinitishia wao ni nani.
Huko hawana maslahiKama Venezuela katepeta hivi kwa muda mfupi vipi wakimtaka Traore wa bukinafaso?
Ndo maana juzi CIA wamejitokeza na kusema Ukraine haikurusha Drone kulenga Makazi ya Putin, maana yake CIA wanajua na ndo wanacoordinate mashambulizi kwenye vituo vya mafuta, meli etcIntel mkuu...intel....sio idadi ya nuclear war heads.
Russia nchi ndogo sana ile,kelele ndio nyingiDuuuu!! Putin alishindwa nini kwa Ukraine? Amekalia kuua Raia na kuporomosha majengo wakati Comedian yuko anazurula tu.