Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,220
- 27,436
Marekani jambazi la dunia
Mkuu umeongea kwa uchubgu sana. Umenifanya nikumbuke drama za hawa watu baranarani.Wanaume wamefsnya yao,
Nikiangslia hawa jwtz wetu na vijana wa TISS,ni vituko vitupu, wanachojua ni kuvimbisha makalio, na vitambi,kupiga makonda, kukimbiza magari, kuivunja sheria za barabarani ili wawahi,na mikwara mbuzi, ukiwaona wanevaa ma balaclava, unaweza ukadhani ni watu "well trained" Kumbe, kichwani, academically ni zero, physically hawana hata matial art skills,
Marine, wamemchukua Rais madulo ndani ya ikulu yake,! Fikiria wakija kumfsta samia! Wale mabishoo wanaomlinda samia! Mishuzi itawatoka, hawana LA maana zaidi ya kuvaa suit, mikwara mingi, ila ndio vilaza watupu
Unaripoti kishambenga sana.wanakimbilia wapi hao wanajeshi?Wanajeshi wa Venezuela waanza kimbia
Anajificha kuogopa 2%Hataki kukaa kwenye ardhi ya wapiga kura wake 31M 😂
Delta Force wamefanya yao bila mambo mengi.Mkuu umeongea kwa uchubgu sana. Umenifanya nikumbuke drama za hawa watu baranarani.
Unaamini zele angeuawa mapema msimamo wa Ukraine usingekua huu?Zele ndiyo kizuizi au anachelewesha.Amechelewesha.
Hapo dollar zimetumika kulambisha wanausalama VenezuelaDelta Force wamefanya yao bila mambo mengi.
Wale jamaa wetu wanashinda barabarani wakisikia lazima wakimbie Ikulu
Fake, Trump hawezi kuacha hii show ifanywe na mwingine,atakapozungumza na media hapo baadae ndo mtaona picha za Maduro
Akili zako ndogo sanaVita dhidi ya Iran, China. Hizi ndizo vita US anazitamani hata muda huu. Sio rahisi China kumvaa Taiwan.
Mabodigadi mikwara mingi, mambo yakiwa magumu hugeuka raia na kutimua mbio sana, wenye sare huziona nzito wanaona ni heri kubaki na boxa tuNaangalia news hapa za kukamatwa kwa maduro lakini pia kuna video za nyuma zikionesha alipokuwa anakagagua gwaride kwa gari maalum la.rais.
Sasa kinachonifurahisha ni jinsi hawa mabodigadi na vyombo vya usalama vilivyomzunguka na kumlinda uw nawaza wanakuwa wapi pale utawala unapoanguka na.kiongozi kunyakuliwa kama mwewe na beberu?
Ni kweli kabisaWewe unafikiri shehe anapata wapi nguvu ya kusema atachinja wakatoliki?
Jambo dogo Tu:Huwa wanaambiwa wakae pembeni wanapokuja wenye dunia yao na wanaendesha mambo kama kwao.Wanaume wamefsnya yao,
Nikiangslia hawa jwtz wetu na vijana wa TISS,ni vituko vitupu, wanachojua ni kuvimbisha makalio, na vitambi,kupiga makonda, kukimbiza magari, kuivunja sheria za barabarani ili wawahi,na mikwara mbuzi, ukiwaona wanevaa ma balaclava, unaweza ukadhani ni watu "well trained" Kumbe, kichwani, academically ni zero, physically hawana hata matial art skills,
Marine, wamemchukua Rais madulo ndani ya ikulu yake,! Fikiria wakija kumfsta samia! Wale mabishoo wanaomlinda samia! Mishuzi itawatoka, hawana LA maana zaidi ya kuvaa suit, mikwara mingi, ila ndio vilaza watupu
Hao jamaa ni wapuuzi sana.Mkuu umeongea kwa uchubgu sana. Umenifanya nikumbuke drama za hawa watu baranarani.
Mwanasheria Mkuu wa Marekani Pam Bondi:Eleza kidogo sababu za Trump kuipiga Venezuela ili tujue kama inaonewa