venezuela

Venezuela (; American Spanish: [beneˈswela] (listen)), officially the Bolivarian Republic of Venezuela (Spanish: República Bolivariana de Venezuela), is a country on the northern coast of South America, consisting of a continental landmass and many small islands and islets in the Caribbean Sea. It has a territorial extension of 916,445 km2 (353,841 sq mi) and the population of Venezuela was estimated at 28 million in 2019. The capital and largest urban agglomeration is the city of Caracas.
The continental territory is bordered on the north by the Caribbean Sea and the Atlantic Ocean, on the west by Colombia, Brazil on the south, Trinidad and Tobago to the north-east and on the east by Guyana. The Venezuelan government maintains a claim against Guyana to Guayana Esequiba. Venezuela is a federal presidential republic consisting of 23 states, the Capital District and federal dependencies covering Venezuela's offshore islands. Venezuela is among the most urbanized countries in Latin America; the vast majority of Venezuelans live in the cities of the north and in the capital.
The territory of Venezuela was colonized by Spain in 1522 amid resistance from indigenous peoples. In 1811, it became one of the first Spanish-American territories to declare independence from the Spanish as a department of the federal republic of Gran Colombia. It gained full sovereignty as a country in 1830. During the 19th century, Venezuela suffered political turmoil and autocracy, remaining dominated by regional military dictators until the mid-20th century. Since 1958, the country has had a series of democratic governments. Economic shocks in the 1980s and 1990s led to major political crises and widespread social unrest, including the deadly Caracazo riots of 1989, two attempted coups in 1992, and the impeachment of President Carlos Andrés Pérez for embezzlement of public funds in 1993.
A collapse in confidence in the existing parties saw the 1998 election of former coup-involved career officer Hugo Chávez and the launch of the Bolivarian Revolution. The revolution began with a 1999 Constituent Assembly, where a new Constitution of Venezuela was imposed. This new constitution officially changed the name of the country to Bolivarian Republic of Venezuela. Chávez established populist social welfare policies bolstered by soaring oil prices, increasing social spending, temporarily and reducing economic inequality and poverty in the early years of the regime. In 2013, Chávez died and was succeeded by Nicolás Maduro, who was elected by a narrow majority in a widely disputed election. Maduro continued the populist policies, but with disastrous economic results which triggered another nationwide crisis that continues to this day.Venezuela is a developing country and ranks 96th on the Human Development Index. It has the world's largest known oil reserves and has been one of the world's leading exporters of oil. Previously, the country was an underdeveloped exporter of agricultural commodities such as coffee and cocoa, but oil quickly came to dominate exports and government revenues. The excesses and poor policies of the incumbent government led to the collapse of Venezuela's entire economy. The country struggles with record hyperinflation, shortages of basic goods, unemployment, poverty, disease, high child mortality, malnutrition, severe crime and corruption. These factors have precipitated the Venezuelan migrant crisis where more than three million people have fled the country. By 2017, Venezuela was declared to be in default regarding debt payments by credit rating agencies. The crisis in Venezuela has contributed to a rapidly deteriorating human rights record, including increased abuses such as torture, arbitrary imprisonment, extrajudicial killings and attacks on human rights advocates, while Maduro has become increasingly described as an autocratic and dictatorial leader by foreign observers.
Venezuela is a charter member of the UN, OAS, UNASUR, ALBA, Mercosur, LAIA and OEI.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao. Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo Matetemeko Venezuela yafikia 3,342 na Majeruhi 16,470

    Idadi ya vifo kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyotokea nchini Venezuela imeongezeka na kufikia 3,342, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na wizara ya habari ya nchi hiyo siku ya Jumapili, Julai 5, 2026 Takwimu hizo mpya pia zinaonyesha kuwa idadi ya majeruhi imefikia 16,470, huku watu...
  3. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii Video ya tetemeko inayonyesha jengo likianguka Venezuela

    Kumekuwepo na video ambayo imechapishwa na kusambazwa na baadhi ya vyombo vya habari pamoja na watumiaji wa mitandao ya kijamii wakidai kuwa inaonesha madhara yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi lililoikumba Venezuela, ambalo linadaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,450 pamoja na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo inaongezeka kwa kasi, waliofariki yafikia 920 kufuatia matetemeko makubwa mawili yaliyofuatana Venezuela

    Idadi ya vifo inaongezeka kwa kasi Mapacha wawili wa matetemeko ya ardhi nchini Venezuela yamesababisha vifo vya angalau watu 920 na wengine zaidi ya 3,000 kujeruhiwa. Nchi hiyo tayari ilikuwa imekumbwa na mgogoro wa kisiasa na kifedha. Waokoaji wanakimbizana na wakati ili kuwatafuta...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Venezuela: Idadi ya vifo yafikia 188, huku 1,500 wakiripotiwa kujeruhiwa kufuatia matetemeko makubwa mawili yaliyofuatana

    Watu wasiopungua 188 wamefariki na zaidi ya 1,500 wamejeruhiwa kufuatia matetemeko makubwa ya ardhi yaliyofuatana nchini Venezuela, kwa mujibu wa taarifa za hivi punde. Waokoaji wanatafuta kwenye vifusi huko Caracas na katika jimbo la La Guaira, ambapo Umoja wa Mataifa (UN) unasema zaidi ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa

    Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza. Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Askari aliyemkamata Rais wa Venezuela akamatwa kwa tuhuma za ku-bet

    Askari wa kikosi maalum cha Jeshi la Marekani, Gannon Ken Van Dyke, amekamatwa kwa tuhuma za kutumia taarifa za siri za kijeshi kujipatia fedha kupitia kamari. Kwa mujibu wa waendesha mashtaka wa Marekani, Van Dyke alikuwa sehemu ya operesheni ya siri iliyosababisha kukamatwa kwa aliyekuwa Rais...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Repsol ya Uhispania yarejesha udhibiti wa shughuli za mafuta ya Venezuela baada ya utawala wa Trump kulegeza vikwazo

    Repsol ya Uhispania yarejesha udhibiti wa shughuli za mafuta za Venezuela baada ya usimamizi wa Trump kulegeza vikwazo https://m.youtube.com/watch?v=MW09a3F1yVI Kampuni kubwa ya nishati ya Uhispania, Repsol, inatarajiwa kuchukua tena udhibiti wa shughuli zake za mafuta nchini Venezuela baada ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti zetu, ikitokea Trump kasema anakuja Tz kufanya alichofanya Venezuela au Iran watanzania wengi tutaungana kumpinga

    Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata. Tanzania, Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnadhani wananchi wa Iran na Venezuela wanajali Marekani kuchukua mafuta ? wananchi ni maskini, wanauawa, wamekimbia nchi, watakataaje msaada ?

    Hakuna free lunch hapa duniani. Lakini afadhali kusaidiwa na mtu wa mbali unajua kabisa atachukua sehemu flani ya rasilimali kisha awaache muendelee na maisha mengine kwa uhuru kuliko kuongozwa na ndugu yako mlafi, kakuacha katika umasikini, Mbaya zaidi ukimhoji, mnapigwa risasi au kufungwa...
  11. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania USA: Venezuela vs Iran

    Oya, ina maana USA wameshindwa kurudia kile walichokifanya Venezuela kwa Iran? Yaani wameshindwa kwenda na makomando wao wa Delta force kumnyakua Ayatollah kama walivyomnyakua Maduro? Daaaaah!!!
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Icc msitumie nguvu kumkamata huyu kiongozi maana ni mzee. Mtumie busara na atii bila shuruti. Yasiwepo makabiliano kama Venezuela

    Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu. Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine. Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trump ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ katika chapisho lake kwenye mtandao wake 'Truth Social'

    Rais wa Marekani Donald, ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ baada ya zaidi ya wiki moja tangu jeshi la Marekani kuivamia Venezuela na kumkamata rais wake, Nicolás Maduro. Kupitia mtandao wake wa Truth Social, Trump alichapisha picha iliyofanana na ukurasa wa Wikipedia, ikionyesha picha yake rasmi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nobel yamkatalia Maria Corino Machado wa Venezuela kumkabidhi Trump tuzo yake ya amani (Nobel peace prize)

    Nobel Institute ya Norway imesema kuwa Tuzo ya Amani ya Nobel haiwezi kuhamishwa, kugawiwa wala kufutwa, hii ni baada ya mshindi wa tuzo hizo wa mwaka 2025 ambaye ni kiongozi wa upinzani nchini Venezuela, María Corina Machado, kusema huenda akamkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump tuzo yake ya...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania akina Tundu Lisu wa venezuela waanza kuachiwa!

    D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: USA inaweza ”kuzichapa" Russia na China ikizuka vita kugombea Venezuela?

    China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia. Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi! Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Trump kuchukua mafuta Venezuela yamkasirisha China, bei imeshuka

    Bei ya mafuta duniani ilishuka baada ya taarifa kwamba Marekani imefikia makubaliano na Venezuela ili kupokea hadi dola bilioni 2 za mafuta yaliyokuwa yakipelekwa China, hatua iliyosababisha mkanganyiko wa kisiasa na uchumi kwenye soko la nishati. Rais Donald Trump alitangaza kwamba Marekani...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Serikali ya Venezuela itatupatia mapipa Milioni 30-50 ya mafuta, tutayauza na fedha nitasimamia zinufaishe pande zote

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema serikali ya mpito ya Venezuela imekubali kuipatia Marekani mamilioni ya mapipa ya mafuta yatakayouzwa kwa bei ya soko la kimataifa, huku mapato yakielezwa kuwa yatanufaisha wananchi wa nchi zote mbili. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya...
  20. mngony

    JamiiForums Tanzania Je, Makamu wa Rais wa Venezuela ndiye mtu wa ndani mshirika wa CIA aliyeisaidia Marekani kumkamata Maduro?

    Kufuatia Operesheni ya kumkamata Rais Maduro, Serikali ya Marekni ilitoa taarifa kuwa mtu wa ndani ya Serikali ya Venezuela na mshirika wa CIA alisaidia kuwezesha kujua mienendo ya Rais Maduro na kufanikisha kukamatwa kwake. Ikumbukwe Rais Trump, alitamka kuwa Makamu wa Rais wa Venezuelea Delcy...
Back
Top Bottom