Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Tunauza vifaa mbalimbali
Printer za epson
Photocopier za canon
Laminator

Vifaa vya simu kama
Vioo (LCD)
Protectors
Touch screen

Tupo kariakoo na Kibaha. Na vifaa vyote ni vipya kabisa na bei zetu ni nafuu. 0767086446
Printer Epson L808 mnauzaje boss?
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Huu uzi utanifaa
 
nataka kununua kwa jumla, natafuta muuzaji wa uhakika bei ya shamban.
Ngoja nitakupa Namba ya mtu atayeweza kukusaidia kufanikisha hilo jambo kwa sababu yeye ana wasiliano ya karibu na mkulima
Kutokea kisiwani Mafia na pia anafanya hiyo biashara atakupa maelezo vizuri.
Mimi nilifanya lakini sikuwa field so sitaki nikupe taarifa fake
 
Ngoja ntakupa Namba ya mtu atayeweza kukusaidia kufanikisha hilo jambo kwa sbb yeye anawasiliano ya karibu Na mkulima
Kutokea kisiwani Mafia Na pia anafanya hiyo biashara atakupa maelezo vzr
Mm nilifanya lakin sikuwa field so sitaki nikupe taarifa fake
Utakuwa umenisaidia sana mzee baba
 
Back
Top Bottom