Urban86
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 276
- 127
Habari wanaJF
Ni hitaji la kila mtu kuwa nyumba bora ya kuishi. Katika hatua za ujenzi tunajua kusimamisha jengo sio shughuli sana.
Kazi inakuja kwenye kufanya finishing ambapo gharama zinaweza kwenda hata mara 2 au 3 ya gharama za kusimamisha jengo kutegemea na ubora wa materials za finishing.
Finishing materials kama vifaa vya umeme, mabomba ya maji safi na taka, rangi, tiles, madirisha, milango na vifaa vyake vimekuwepo vya aina nyingi na ubora tofauti na kukosa ubora wengine wamelazimika kubadilisha mara kwa mara.
Kupitia Uzi huu tutapeana dondoo na kuelimishana wakati wa kufanya finishing.
Kupitia Uzi huu tutaweza kupeana connections za machimbo mazuri na ya gharama nafuu za materials za finishing na kila mmoja kutimiza ndoto yake ya kuwa na mjengo anaotaka.
Karibuni sana wadau