Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mimi ni Boda Boda ninaejielewa mzoefu, mwaminifu pia nina family niko Dar es Salaam, ukiwa mitaa ya Tabata Kinyerezi na Segerea, Kimanga, Chang'ombe, ewe mama, kaka, dada ukihitaji usafiri karibu tusaidiane maisha pia bei zangu ni za kawaida sana.

Safari zako nitakufikisha kwa haraka na salama zaidi pia ukiniunganisha na ndugu, jamaa, jirani au rafiki nitafurahi sana huu mji bila connection ni kazi buree, naombeni connection wajameni namba yangu ni 0756695846. Call, WhatsApp or text. Hutajuta kufanya kazi na mimi.
 
Kuna sehemu hapa Ubungo Maji karibu na kanisa la Gwajima, huwa naona wameweka, jaribu ucheki huenda zinauzwa, ama watakusaidia kujua zinakouzwa. Ila hujasema unaulizia uko wapi?
Asante kwa info ngoja niwacheki jamaa japo wanakuaga wagumu kukupa machimbo yao maana nimeshajaribu baadhi ya sehemu nikakwama . Nipo Dar
 
Hello, habari !
Ninapenda kupata connection na mtu anayefahamu vema mnada Wa mifugo ulipo kati ya wilaya ya Bunda na butiama (sina uhakika exactly uko wilaya ipi kati ya hizo wilaya mbili).
But Kama kuna mtu anauwenyeji na mnada huo naomba tuzungumzee kuna jambo zuri twaweza lifanya.

Shukrani!!
 
Wewe nenda kaongee vizuri na hao wauzaji ili uweze kujua wao wanatoaga wapi
Hizo zinauzwa ghali 45k - 50k Mimi nahitaji toka viwandani ambapo bei ni 20k -25k. Hizi huwa zinaletea malighafi hasa kemikali kwa baadhi ya viwanda ila sijajua hasa ni viwanda gani.
 
Mwenye uelewa wa biashara ya bekary nataka kuanza kuzalisha mikate.
Nataka kujua wapi napata vitendea kazi na mtaalamu wa kunishauli kwenye production .
Kuhusu marketing mwenyewe niko vizuri
 
Karibuni sana jamani, bado sapoti yenu. Inahitajika sana.
Habari wana Jf Nina portable toilets /mobile toilets kwa ajili ya matumizi yote ya outdoor. Kwenye misiba, matamasha, shughuli za ujezi na kadhalika.

Kampuni ni mpya nahitaji kupigwa tafu kupata wateja jamani

Namba ya simu ni 0768 333 953
Barua pepe ni muhogomchungu.kr@gmail.com

Kwa Msaada au support yoyote tutashukuru sana.

Bei ni kuanzia Tshs 150,000 kwa siku. View attachment 1542649View attachment 1542650
 
Back
Top Bottom