ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,044
- 6,297
Unaweza kuzipeleka hizi toilets kwenye masoko chief,,unaomba eneo kwenye uongozi wa soko. Masoko mengi makubwa hayana vyoo vya kutosha,hata stendi pia kama mbezi, ubungo.Karibuni sana jamani, bado sapoti yenu. Inahitajika sana.