Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mwenye kutaka fashion mpya ye sendo anicheki nauza kwa bei ya JUMLA na REJAREJA 15000, 0782519947
IMG_20240225_180807_026.jpg
IMG_20240225_180530_116.jpg
IMG_20240225_180328_799.jpg
IMG_20240225_180028_235.jpg
IMG_20240225_175938_649.jpg
IMG_20240225_180015_488.jpg
 
Natafuta connection ya Investor ambaye atakuwa anawekeza hela za kuwalipa mafundi na kununua materials pindi tender ikipatikana. Faida itagawanywa kulingana na kazi husika.

Mawasiliano (Whatsap): 0652448233
Funguka kidogo mdau kazi gani na je ni investment ya bei gani inahitajika?
 
Habari za majukumu wana JF.
Naomba niwape fursa (promotion price) kwa itakaowafaa
Tunafanya biashara ya saa (jumla) na tupo kariakoo - Dar es Salaam.
Leo nina fursa kwa vijana wapambanaji na yeyote mwenye uwezo na nafasi ya kuuza saa kwa maeneo alipo
Tuna saa za aina tofauti za seli ambazo tunauza kwa bei ya ofa kuanzia sh. 1000 hadi 1500
(Seli maana yake ni zile bidhaa ambazo utokaji wake umekua sio wa haraka hivyo tunafanya maamuzi ya kuzitoa stoo ili ziachie nafasi ya bidhaa nyingine kukaa, hii sio kwa saa tu inaweza kuwa seli ya vyombo nguo n.k)
Sisi tunazo saa za chuma (kiume na kike), tuna za plastic (kiume na kike pia) ambazo badala ya bei yake halisi ya 3500 hadi 4000 (kwa jumla), sasa tunaziuza kwa 1000 hadi 1500.
Ni saa ambazo ukichukua pc hata 200 hautachukua muda kuzimaliza endapo na wewe pia utakwenda kuuza kwa bei rafiki (promotion) kama ulivyonunua.
Mfano saa za sh. 1000 na 1500 unaweza kuuza kwa kwa sh. 2000 kila moja ili mzigo ukimbie haraka na uweze kuchukua mwingine.
Ninawahakikishia hii ni zaidi ya fursa maana saa hizi za promotion zina utokaji mzuri sana haswa ukienda kuuza maeneo ya mkusanyiko kama sokoni, shuleni, stand n.k
TUPO KARIAKOO, PIA TUNATUMA MIKOANI. karibuni sana.
# 0699669515
Uza wewe kama ni jambo rahisi
 
Habari, nahitaji connection ya hizo pochi kwa bei ya jumla kariakoo
 
Attachments

  • IMG-20240229-WA0004.jpg
    IMG-20240229-WA0004.jpg
    154.1 KB · Views: 7
  • IMG-20240229-WA0003.jpg
    IMG-20240229-WA0003.jpg
    130.4 KB · Views: 9
  • IMG-20240229-WA0000.jpg
    IMG-20240229-WA0000.jpg
    233.6 KB · Views: 10
  • IMG-20240229-WA0001.jpg
    IMG-20240229-WA0001.jpg
    143 KB · Views: 5
  • IMG-20240229-WA0002.jpg
    IMG-20240229-WA0002.jpg
    145.9 KB · Views: 7
Habari za majukumu wana JF.
Naomba niwape fursa (promotion price) kwa itakaowafaa
Tunafanya biashara ya saa (jumla) na tupo kariakoo - Dar es Salaam.
Leo nina fursa kwa vijana wapambanaji na yeyote mwenye uwezo na nafasi ya kuuza saa kwa maeneo alipo
Tuna saa za aina tofauti za seli ambazo tunauza kwa bei ya ofa kuanzia sh. 1000 hadi 1500
(Seli maana yake ni zile bidhaa ambazo utokaji wake umekua sio wa haraka hivyo tunafanya maamuzi ya kuzitoa stoo ili ziachie nafasi ya bidhaa nyingine kukaa, hii sio kwa saa tu inaweza kuwa seli ya vyombo nguo n.k)
Sisi tunazo saa za chuma (kiume na kike), tuna za plastic (kiume na kike pia) ambazo badala ya bei yake halisi ya 3500 hadi 4000 (kwa jumla), sasa tunaziuza kwa 1000 hadi 1500.
Ni saa ambazo ukichukua pc hata 200 hautachukua muda kuzimaliza endapo na wewe pia utakwenda kuuza kwa bei rafiki (promotion) kama ulivyonunua.
Mfano saa za sh. 1000 na 1500 unaweza kuuza kwa kwa sh. 2000 kila moja ili mzigo ukimbie haraka na uweze kuchukua mwingine.
Ninawahakikishia hii ni zaidi ya fursa maana saa hizi za promotion zina utokaji mzuri sana haswa ukienda kuuza maeneo ya mkusanyiko kama sokoni, shuleni, stand n.k
TUPO KARIAKOO, PIA TUNATUMA MIKOANI. karibuni sana.
# 0699669515
Bado mzigo upo?
 
Back
Top Bottom