Tujuzane Chanel mbali mbali za whatsap na Telegram

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,116
2,285
Wengi wetu tuko vyema tukisubiria Mama arudi kutoka Doha na ndizi mkate mkononi.

Ni hivi, baada ya Whatsap kutuletea mfumo wa Chanel ili kuturahisishia Biashara na mengineyo.

Basi uzi huu uwe wa kujuzana Chanel mbalimbali katika kupeana Ladha ya hii huduma mpya.

Chanel hizi ziwe za maono na biashara nahata za Kiimani.

Asanteni
 
Huko tele zimejaa za mapilau tu, tusubr whatsap nayo itavamiwa
Huenda hizo channels za pee pee movies ulizisaka mwenyewe man vinginevyo telegram haina ads za ngono wala haipublish moja kwa moja hizo channels.. Istoshe kuna channels mingi kule tena educational na za entertainments vilevile hizo za ngono na muvi ukizitafuta utapata yaani telegram ni partially free fair platform tu unaamua kutafuta unachokitaka ni wewe mwenyewe na akili yako kuamua ujiunge wapi..
 
Moga team. Huuyu bot yupp tel itakusaidia kutengeneza picha za AI
 
Back
Top Bottom