kambipopote
Senior Member
- Nov 15, 2010
- 122
- 22
Nimemwelekeza aende duka la Assad Animal Feeds lipo Ubungo Kituo cha mafuta. pale atapata malighafi za viwandani pamoja na zisizo za viwandani (mashudu, damu, mifupa n.k)Mashudu ya alizet au ya pamba, damu na mabak ya dagaa