Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Hilax Saf

Member
Mar 25, 2020
28
75
Maharage yako aina mbalimbali so na bei zinatofautiana kulingana
-aina ya maharage
-ubora wa maharage husika kwa maana ya super na kawaida
... Ila kwa maharage yenye beii kabisa ni tsh38000 debe yaani hiyo ndo first quality na kipenzi cha wateja
Hiyo bei hailipi kiongozi
 

Mmea Jr

JF-Expert Member
May 20, 2016
239
250
Mwenye connection na biashara ya mafuta ya alizeti (ambayo hayaja chakachuliwa ) toka Dodoma , mi nipo Iringa mjini kwasasa . kama ataweza kutuma madumu ya mafuta toka Dodoma mbaka Iringa basi itakuwa poa zaidi .
 
Top Bottom