Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,477
Sasa ameimention geita au sijamwelewa!nanasi la Geita la Bagamoyo likasome kwa utamu.Naam wanalima sana, zile nanasi unakula ukiwa Mwanza zinatokea huko.
Sasa ameimention geita au sijamwelewa!nanasi la Geita la Bagamoyo likasome kwa utamu.Naam wanalima sana, zile nanasi unakula ukiwa Mwanza zinatokea huko.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ngoja apate majanga atacool tu huyuhahaah labda hujamwelewa,anataka umfanyie dili la kumwelekeza sehemu ambayo majimama yanapatikana
Na huu mwezi ujao wa sita kwa kule hakuna mavuno yyt ausio,Na je kwa kipindi hiki cha hili janga la Corona mpaka mwezi wasita ni wapi wana vuna kuweza ku changamkia Fursa,sa'bu kuna mtu ali pasifia sana Mlimba naww ukawa haupo nyuma kutupia mazuri ya kule 🙏Mkuu kule nisha toka kuna shughuli tu nilienda kuzifanya kisha nikarejea.
Kuhusu msimu wa mavuno ni mwezi wa tatu na mwezi wa saba. Mwezi wa 3 huvuna mahindi na mwezi wa 7 huvuna maharagwe pamoja na mahindi.
Na kuhusu usafiri unapatikana maana huwa kuna magari yanaleta mizigo kutoka Dar es Salaam na kurudi na mizigo, kwahiyo kuhusu usafiri sio shida kabisa. Changamoto ipo kwenye barabara maana ni vumbi kutoka Songe, Kilindi mpka Handeni ama Kutoka Songe, Kilindi mpka Gairo. Changamoto inatokea hasa kipindi cha mvua
mlimba kuvuna washaanza tangu mwezi wa tatu mahindi ,mwezi huu wameanza kuvuna mpunga watamaliza mwezi wa Saba, kuhusu usafiri labda utumie treni magari barabara ni changamoto kipindi hiki labda baada ya mwezi jua liwake wakeNa
Na huu mwezi ujao wa sita kwa kule hakuna mavuno yyt ausio,Na je kwa kipindi hiki cha hili janga la Corona mpaka mwezi wasita ni wapi wana vuna kuweza ku changamkia Fursa,sa'bu kuna mtu ali pasifia sana Mlimba naww ukawa haupo nyuma kutupia mazuri ya kule 🙏
Ok sawasawa,so mpaka sasa wana endelea na mavuno? Na je kwa swala la mpunga au mchele km kule barabara ni changamoto je kwa Ifakara au huko Mlimba wapi unaweza kupiga bao vzr>>> ww ndio Damian J ulio leta hii taarifa ya mlimba,nadhani Ifakara pia utakua una ijua kwa swala hili la Nafaka.mlimba kuvuna washaanza tangu mwezi wa tatu mahindi ,mwezi huu wameanza kuvuna mpunga watamaliza mwezi wa Saba, kuhusu usafiri labda utumie treni magari barabara ni changamoto kipindi hiki labda baada ya mwezi jua liwake wake
Ok sawasawa,so mpaka sasa wana endelea na mavuno? Na je kwa swala la mpunga au mchele km kule barabara ni changamoto je kwa Ifakara au huko Mlimba wapi unaweza kupiga bao vzr>>> ww ndio Damian J ulio leta hii taarifa ya mlimba,nadhani Ifakara pia utakua una ijua kwa swala hili la Nafaka.
Ok sawa,goja niji pange,napia nitumia namba yako PMKwa ifakara sifahamu sijawahi kutembelea huko ila huku mlimba barabara ipo kwenye matengenezo maana kunakipande kilijaa tope
Umechanganya madesa huyu ana taka umpe taarifa za Mlimba kilombero Morogoro wewe umempa taarifa za Kilindi TangaMkuu kule nisha toka kuna shughuli tu nilienda kuzifanya kisha nikarejea.
Kuhusu msimu wa mavuno ni mwezi wa tatu na mwezi wa saba. Mwezi wa 3 huvuna mahindi na mwezi wa 7 huvuna maharagwe pamoja na mahindi.
Na kuhusu usafiri unapatikana maana huwa kuna magari yanaleta mizigo kutoka Dar es Salaam na kurudi na mizigo, kwahiyo kuhusu usafiri sio shida kabisa. Changamoto ipo kwenye barabara maana ni vumbi kutoka Songe, Kilindi mpka Handeni ama Kutoka Songe, Kilindi mpka Gairo. Changamoto inatokea hasa kipindi cha mvua
Debe n 17000 wale wanene kabsaYaani dagaa wale wabovu kwa ajili ya chakula cha kuku ndio wanauzwa bei hiyo.!!?? Je, na wale dagaa kwa ajili ya chakula cha binadamu ni bei gani.?
Mkuu dua za mwewe hazmpati kukungoja apate majanga atacool tu huyu
Mi nataka deal za pesa mkuu hayo majimama nikiwa na pesa n kwenda kununua tyu mkuuhahaah labda hujamwelewa,anataka umfanyie dili la kumwelekeza sehemu ambayo majimama yanapatikana
Naomba connection nikusambazie KuKu wa kienyeji wa kubwa kama una supermarket au Hotel naweza kuandaa kwa kuchinja na kusafisha, Pia kama unahitaji dagaa nicheki tufanye biashara.
Ila niliwauliza hilo swali sikupata jibuNaomba kufahamu vitu viwili:
- Debe huwa linaingia kilo ngapi?
- Mwenye kuifahamu mashine ya kupukusua mahindi anipe jina lake ikibidi na picha yake
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌kula raha dogo maisha ndo hayahayaMkuu dua za mwewe hazmpati kuku
Nauza Soya Lishe kilo sh. 1,400 ipo Iringa mjini. Mwenye kuhitaji anicheki PMKama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.