Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Ushauri wa bure kwa single gals wa CC

Mkuu utamuweza Mamndenyi? Kafundwa tandahimba huyu.....shuruti akufunge khanga vinginevyo atakuzungusha urushwe upitie dirishani!
Bishanga hilo halina ubishi hata kama wananiita kiserengeti boy sitojali sana mradi namtimizia Mamndenyi anachotaka

Ungeziona PMs za Mamndenyi alizonitumia ungekaa kimya

Hizo kwangu Mungi ni zilipendwa nishaacha siku nyingi kuzisikiliza na hata usem ajena ulikuwa nar sio shida sana mi nipo na yeye yupo atakuwa wangu siku zote
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky
dah jamani si mniache tu,
najua mna njama za kunipeperushia Mr Rocky,
but Mr Rocky be strong man ni upepo utapita tu,
Nakupenda Mr Rocky.

Bishanga hilo halina ubishi hata kama wananiita kiserengeti boy sitojali sana mradi namtimizia Mamndenyi anachotaka

Hizo kwangu Mungi ni zilipendwa nishaacha siku nyingi kuzisikiliza na hata usem ajena ulikuwa nar sio shida sana mi nipo na yeye yupo atakuwa wangu siku zote
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
"Kuzaliwa na baba maskini hiyo ni kudra ya Mwenyezi Mungu,
Kuwa na baba mkwe lofa ni kujitakia"
Ushauri huu nina u dedicate kwa Smile na @lara1
amu Arabela charminglady Zion Daughter na Nivea angalieni kwa makini uwezekano wa kuolewa na wanae bishanga abashaija,who knows siku ya harusi unaweza unyanyuke na funguo za mercedaa na hati ya kiwanja mbezi beach!.

Ps: ninayo midume ya kutosha nyumbani kwangu,anayebisha awaulize Mamndenyi na gfsonwin.

Bishanga waguma.... Hebu tupia CV ya kijana wako may be nitavutiwa naye....
 
Last edited by a moderator:
Bishanga waguma.... Hebu tupia CV ya kijana wako may be nitavutiwa naye....

Curriculum vitae:
Name: Lutta bishanga abashaija
DoB:01/09/1986
Elimu: kindergaten- kwa mama holmes oysteerbay
Praimari: International school of tanganyika
Secondary: braeburn,kenya
University: university of southmpton,yukei

Ajira: branch manager,crdb
Assets: ana gari na nyumba boko,of course ana blackberry,iphone,ipad na mackintosh mac pro brand new
Benki: ana dola za kutosha
La ziada charminglady?
 
Mbona hana Tembo card na kabati la mbeho?????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom