Samahani wanajukwaaa

Status
Not open for further replies.

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,178
14,351
Tuliishi kwa amani na kutaniana na kupeana madongo ya kila aina.
Hakuna aliyevuka mipaka wala hakuna aliyeenda mbali zaidi ya utani wa kawaida.
Jukwaaa lilikuwa ni stress free sehem ambapo unaweza sema chochote au kuongea chochote bila kujali ni thread gani au main topic ni ipi.
Hjtukujali huyu ni Asprin wala Dark City au Bishanga au Mtambuzi wala hatukujali huyu ni AshaDii au King'asti au Blaki Womani au Kongosho au snowhite au Kongosho
Ila tulitaniana na kupeana maneno yote ya utani tunayoyajua
Ghafla tumevamiwa na Buchanan
Utani ghafla ukawa moderated. Kutaniana kwetu ghafla kukawa moderated.
Tujiulize wapi tumepotea, wapi tumejikwaa na tuangalie tusianguke. Jukwaa hili liwe sehem ya kuondoa stress za majukwaa mengine na kupeana issue za maisha. Tujiangalie tujue wabaya wetu ni nani na nani anamfanya Buchanan ashinde huku muda wote. Tujiepushe na thread hizo za hao watu na turudi kwenye lile jukwaa letu pendwa la chit chat stress free. Matusi na masengenyo yawe mwiko kwetu. Hebu tujiulize ni wapi tumejikwaa tuangalie tusianguke. Ushauri wa Mr Rocky
Copy to charminglady, Blaki Womani, charminglady, snowhite, gfsonwin, Madame B , lara 1 , Zinduna, Kongosho, Preta, Mungi, Vin Diesel, Arushaone, Filipo, LiverpoolFC, Erickb52, manoah, stevoh, Baba V, Bishanga, Asprin, Ruttashobolwa, Lily Flower, watu8, sweetlady@st.paka mweusi, PakaJimmy, Nicas Mtei, Zion Daughter, noahism Rich woman, nivea, Buchanan, Marry Hunbig, Paw, King'asti ,
 
Last edited by a moderator:
Hicho kilichoingia ni kirusi......na kwa sababu tunajua namna ya kuepuka kirusi......nadhani tutakuwa salama.......
 
Ni kweli Mr Rocky tena ana vitisho sana.
Binafsi huyu Buchanan ameniboa sana coz nahisi ana masifa ya ajabu ajabu.
Anadhani sisi watoto humu?
Anatakiwa awe great thinker kama mfano ila anaonekana nayeye ni walewale tu.
All the best
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana. Mmezidi mno kuwowana.
Na hii thread msipokuwa makini itakuwa victim coz inakuwa closely scrutinized!

U guys gotta comment responsibly!
 
Wakuu niambieni ni nani niliyemwonea ili nimwombe radhi! Wenyewe mmedai kuwa Jukwaa lisafishwe, tena sasa hivi mnadai nawaboa, ninyi si watoto, nashinda huku, nk. Naombeni constructive criticism ili na mimi nijirekebishe, kama nimejikwaa!
 
Mr Rocky umesema la maana ila wanao vuluga hapa ni wenye ID mpya na watu wanaotoka majukwaa mengine, ila sie wenyewe humu hatuna shida.
 
Last edited by a moderator:
Preta inaumiza sana maana tulikuwa tunaishi kwa amani na upendo ila ghafla kaingia kirusi
Erickb52 majivuno yake yanatuumiza bana na hizo ban zake anazitoa kama njugu sijui kwa nini hapeleki jukwaa la siasa
PakaJimmy kwani tukiwowana na yeye si atafute wa kuwowa sasa ugomvi wa nini aise
 
Last edited by a moderator:
Wakuu niambieni ni nani niliyemwonea ili nimwombe radhi!

Kauli ulompa charminglady asbh ilikuwa sio ya busara. Nilikuwa natafakari siku nzima imekuwaje utoe vitisho namna ile. Kwanini usimwambie kistaarabu kuwa si vema kufanya hili na si kufoka kama polisi. Lazma umwambie mtu bila kumkwaza na ujumbe utamfikia sio kauli ya kibabe kila saa.
Watu humu ni waelewa achana na mtizamo ulionao wa POLICCM
 
Last edited by a moderator:
Preta inaumiza sana maana tulikuwa tunaishi kwa amani na upendo ila ghafla kaingia kirusi
Erickb52 majivuno yake yanatuumiza bana na hizo ban zake anazitoa kama njugu sijui kwa nini hapeleki jukwaa la siasa
PakaJimmy kwani tukiwowana na yeye si atafute wa kuwowa sasa ugomvi wa nini aise
Ni kweli kaka yan ndio anaharibu ndio maana mi nimekula zangu kimya isingekuwa huu uzi wako usingeniona mkuu!
Chitchat imeharibika bora nikae zangu kimya tu.
 
Last edited by a moderator:
Buchanan uwe huru mkuu ila hapa cc tuna heshimiana sana na tunapendana sana. Panapo tokea tatizo hapa ujue kuna mmoja mgeni asie elewa tamaduni za cc na ndio wavulugaji hapa, katika utoaji wa hukumu nafikiri uwe una hoji au unauliza hata member wa tatu au watano, ndipo uwe unatoa hukumu, ila ukiwa unatoa hukumu moja kwa moja hapo lawama hazito kosekana. Amani kwako
Wakuu niambieni ni nani niliyemwonea ili nimwombe radhi!
 
Last edited by a moderator:
Buchanan wewe ni mods uliyekuja huku. Unawaona watu ambao wanavuruga jukwaa na unalijua jukwaa lilivyokuwa. Lugha kama uliyompa charminglady sio ya busara ni ya kutisha na ambayo ulipaswa kumpa kwenye pm yake
manoah ndio hivyo bana inabidi tuwe makini sana
Marry Hunbig sijui ni lugha gani tuongee ili mods aelewe aise
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 yaani kwa sasa hata jukwaa linaboa kuingia maana hujui ni maneno yapi utayaongea ambayo hayatamuudhi mods akupe ban
Tulikuwa tunaogopa jukwaa la siasa ila sasa na hili la CC linaogopeka inabidi tuingie kwa tahadhari
Utani wetu na kuupeana madongo inabidi tuwe makini
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky mie sasa ivi nimeamu kutulia tu my brother maana hapa pamekua hatari, wavamizi wanavamia na kuaribu mambo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 yaani kwa sasa hata jukwaa linaboa kuingia maana hujui ni maneno yapi utayaongea ambayo hayatamuudhi mods akupe ban
Tulikuwa tunaogopa jukwaa la siasa ila sasa na hili la CC linaogopeka inabidi tuingie kwa tahadhari
Utani wetu na kuupeana madongo inabidi tuwe makini
Binafsi nitaendelea kubaki msomaji hadi ntakapokuwa na nimevitiwa saaaana otherwise sina mzuka tena na jukwaa
 
Last edited by a moderator:
manoah same here brother ni kuamua kutulia na kuacha mambo yaende kimya kimya aise. Yaani unasoma na kupita bila kucomment maana usije ukapata ban
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom