Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Ule si tulikua wote jamani au umejisahaulisha?
haiwezekan.. manoah...ebu sikia haya?
Last edited by a moderator:
haiwezekan.. manoah...ebu sikia haya?
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Una akili sana wewe.
hahaaa!we manoah!
kuya haraka,kumbe hua nachat na katoto!
utanitambua leo!
Shemeji baba kaanza kuzeeka... ananichanganya na mjukuu wake
ni wewe thats y sikuelewi elewi
kumbe hata 4m 4 bado hujafika!
ah ah ah! wewe si tulikua twasoma magogoni pale?
ok!nishakukumbuka lol!
ila ulikua mtukutu kweli!
unakumbuka nilivyo kukosa kosa..
si unajua nilikua busy na
masomo wewe ukataka kunikuza
nikakutosa!
ah ah! ila nina chofurahi utamu nilio takiwa niupate mimi kaupata Kamanda mkuu
haikua bahati yako
na wewe utamu c unapata kwa mwingine
hahahah charminglady na haya unayajua? Hivi mzee Mtambuzi bado ako huko? msalimie sana Elizabeth Dominic ukimuona....